admin
YANGA YASIKITISHWA NA ZOMEAZOMEA YA MASHABIKI
YANGA yakemea tabia ya mashabiki kuzomea wachezaji na kupigana wenyewe kwa wenyewe
MIPANGO YA BIASHARA UNITED NI MOTO
UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kushinda mechi zake zilizobaki ili kufaniksha malengo waliyojiwekea.Akizungumza na Saleh Jembe, Mwenyekiti...
SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MBEYA CITY
NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa watakuwa na kazi ngumu mbele ya Mbeya City, Juni 24 ila watapambana kupata matokeo.Leo Simba imewasili Mbeya...
SERIKALI YAZUNGUMZIA ISHU YA DAVID MOLINGA WA YANGA
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amesema kuwa alishangaa kuona mchezo wa JKT Tanzania, David Molinga hayupo ndani ya kikosi cha...
SADIO MANE ALICHANGANYA MAJALADA KIDOGO UWANJANI
SADIO Mane, winga wa Klabu ya Liverpool, jana alisahau kuanza kupiga goti moja chini ya uwanja kabla ya mchezo kuanza kati yao na Everton.Baada...
RUVU SHOOTING YAZIPIGIA HESABU OINTI TATU ZA NDANDA KESHO
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa maandalizi ya mchezo wao kuvaana na Ndanda kesho Uwanja wa Mabatini yapo vizuri.Kesho Ruvu Shooting itakuwa na kibarua...
SIMBA YATIA TIMU MBEYA KAMILIKAMILI
KIKOSI cha Simba leo kimewasili salama Mbeya baada ya kuondoka leo Dar es Salaam.Simba ilikwea pipa asubuhi ili kuwahi kufanya maandalizi dhidi ya mechi...
AZAM FC KUMBE WAMEYEYUSHA POINTI 15 KISA WAAMUZI
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa kinachowaponza Azam FC kushindwa kufikia mafanikio ya kusepa na pointi nyingi uwanjani ni maamuzi ndani ya uwanja.Ofisa Habari...
TFF YAWEKEZA NGUVU KUBWA KWA VIJANA, SASA KUFUNGUA SHULE ZA VIPAJI...
MKURUGENZI wa masuala ya Ufundi ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Oscar Milambo amesema kuwa ni mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kuendeleza vipaji...
SIMBA YAKWEA PIPA KUIFUATA MBEYA
TIMU ya Simba leo imeanza safari kwa ndege kutoka Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuelekea Mbeya kwa ajili ya michezo miwili ya Ligi...