admin
SAKATA LA KOCHA WA YANGA KURUDI BONGO LIMEFIKIA HAPA, NI NDANI...
KESHO ndani ya gazeti la SPOTIXTRA Jumapili usipange kukosa nakala yako
HILI HAPA JESHI LA AZAM FC DHIDI YA TRANSIT CAMP
KIKOSI cha Azam FC kitakachoanza leo mchezo wa kirafiki dhidi ya Transit Camp, Uwanja wa Azam Complex.
YANGA WABADILI GIA KWA MAKAMBO, KISA SIMBA
MKURUGENZI wa Uwekezaji ndani ya GSM, Injinia Hersi Said amesema kuwa mpango mkubwa wa kusajili wachezaji ndani ya Klabu ya Yanga kwa sasa ni...
WACHEZAJI VIBONGE NDANI YA YANGA WAMCHEFUA MKWASA ..
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa, amesema kuwa katika mazoezi ya siku tano ambayo wachezaji wamefanya, amebaini kuna nyota wao watano walioongezeka uzito jambo...
SALIBOKO MTUPIAJI NAMBA MBILI WA LIPULI ATAJA ALIPOJICHIMBIA
DARUESH Saliboko, mshambuliaji namba mbili wa Klabu ya Lipuli amesema kuwa ataripoti kambini hivi karibuni kwa kuwa kwa sasa kuna mambo anayaweka sawa.Lipuli iliripoti...
AZAM FC YAPANDISHA MAJEMBE SITA YA KAZI
BENCHI la ufundi la Azam FC lililo chini ya Kocha Mkuu Aristica Cioaba limepandisha majembe sita ya kazi kutoka timu ya vijana ya umri...
KESHO NI YANGA V KMC UHURU
KESHO Yanga itakuwa na kibarua kingine cha kumenyana na KMC kwenye mchezo wa kirafiki utakaochezwa Uwanja wa Uhuru.Mchezo huo utarushwa moja kwa moja na...
KIPA KMC NA SIMBA KIMEELEWEKA….KOCHA KMC AANIKA KILA KITU
LICHA ya Simba kuwa kimya katika harakati za usajili, tetesi zilipo ni kwamba tayari wamemalizana na kipa wa KMC, Jonathan Nahimana.Nahimana alianza kuhusishwa na...
SIMBA WAICHOKONOA YANGA KIMTINDO HIVI
BAADA ya Uogozi wa Yanga kusema kuwa wachezaji wao watatu wameongezeka uzito, Ofisa Habari wa Simba Haji Manara kama amewajibu kimtindo kwa kuwataja wachezaji...
YANGA WAINYOOSHA MABAO 2-0 DAR CITY
KLABU ya Yanga leo imeshinda mabao 2-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City uliochezwa Uwanja wa Chuo cha Sheria.Mchezo wa kwanza Yanga...