admin
BEKI WA TANZANIA PRISONS AWAKIMBIZA MABEKI WOTE BONGO KWA KUCHEKA NA...
SALUM Kimenya beki kiraka anayekipiga ndani ya Klabu ya Tanzania Prisons amewakimbiza mabeki wote wanaokipiga ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheka na nyavu.Kabla...
MORRISON BALAA LAKE LILIKUWA NAMNA HII NDANI YA LIGI KUU BARA
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison ametumia uwanjani jumla ya dakika 852 kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kuonyesha balaa lake.Kabla ya ligi kusimamishwa...
NYOTA HUYU KIPENZI CHA MASHABIKI ATAJWA KUREJEA JANGWANI
INAELEZWA kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao wanahitajika kurudi ndani ya Klabu ya Yanga ni pamoja na staa wao wa zamani, Heritier Makambo anayekipiga Horoya.Msimu...
MTUPIAJI MWINGINE HUYU WA CONGO AINGIA ANGA ZA YANGA
LELO Amfumu ni nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rangers inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo.Nafasi yake ni ushambuliaji na ni miongoni mwa washambuliaji ambao...
CHAMA ATAJA HATMA YAKE NDANI YA SIMBA
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba ameweka wazi muda ambao bado atakuwa ndani ya Klabu ya Simba.Chama amekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga msimu huu...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, lipo mtaani jipatie nakala yako
KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA NI MUHIMU, ILA WACHEZAJI MSIPUUZIE PROGRAM...
KILA mmoja kwa sasa anapambana kujiokoa kutoka kwenye hali isiyopendwa na wengi ambayo ni maradhi yaliyoingia kwa kasi kutokana na maambukizi yake kuongezeka kila...
KUHUSU USAJILI WA WACHEZAJI WANAOKIPIGA NDANI YA BONGO SIMBA YASEMA HAISHINDWI...
SENZO Mazingisa,Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba amesema kuwa timu yake haishindwi kumsajili mchezaji yeyote anayecheza katika ligi ya Tanzania ikiwa inamhitaji.Simba imekuwa ikihusishwa...
KOCHA WA SIMBA ASEPA NA MTU, KESHO NDANI YA GAZETI LACHAMPIONI...
Kesho ndani ya Gazeti la Championi Jumamosi, usikubali kukosa jipatie nakala yako na nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
KOCHA REAL MADRID ATOA MSAADA AFRIKA KWA AJILI YA KUPAMBANA NA...
ZINEDINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid ametoa msaada wa vifaa tofauti katika hospitali za nchini Algeria kwa ajili ya kupambana na Virusi vya...