Home Authors Posts by admin

admin

25158 POSTS 9 COMMENTS

JAMES KOTEI ATAJA SABABU ZITAKAZOMRUDISHA SIMBA

0
JAMES Kotei, kiungo mkabaji ambaye alicheza kwa mafanikio ndani ya Klabu ya wa Simba amesema kuwa anapenda kurudi ndani ya Simba kwa kuwa hakuzinguana...

MBRAZILI WA SIMBA AJIPA JINA JIPYA, HILI HAPA

0
GERSON Fraga, nyota wa Simba ambaye ni raia wa Brazil amesema kuwa mtindo wake wa ushangiliaji ni jina lake jipya ambalo amepewa na mashabiki...

MWAMNYETO, NYOTA ANAYEWINDWA NA SIMBA NA YANGA ATOA YA MOYONI

0
BEKI Chipukizi anayekipiga ndani ya Coastal Union, Bakari Mwamnyeto amesema kuwa ikitokea amepata dili la kujiunga ndani ya Simba ama Yanga atacheki maslahi ili...

MTIBWA SUGAR; TIMU ZOTE ZIUNGANE KUPAMBANA NA CORONA

0
Wachezaji wa Mtibwa Sugar kabla ya Ligi kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya CoronaTHOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kwa sasa...

MNATA ATAJA ANACHOKIPATA KUTOKA KWA SHIKALO

0
METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa anakubali uwezo wa mlinda mlango namba moja wa Yanga, Farouk Shikalo kutokana na kuwa...

KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YA KAGERA SUGAR HIKI HAPA

0
MECK Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa kikosi chake kilikuwa kinabebwa na nidhamu pamoja na kujituma kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa.Kwa...

HILI NDILO JEMBE ANALOLIKUBALI KOCHA MKUU WA SIMBA

0
Wachezaji wa Klabu ya Namungo  wakiongozwa na Kikoti mwenye jezi namba nane wakiwa kwenye furaha kabla ya Ligi kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya...

KOCHA MKUU WA SIMBA ATOA NENO LAKE KWA MSHAMBULIAJI NAMBA MOJA...

0
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amesema amekuwa akishangazwa na uwezo wa mshambuliaji wake, Meddie Kagere ndani ya uwanja kutokana na kufanya kazi bila...

BERNARD MORRISON;MAMBO YANGEKUWA SAWA, NINGESAINI SIMBA

0
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa kama mabosi wa Simba wangemalizana na meneja wake basi angesaini jumlajumla kwa watani hao wa jadi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS