admin
KUMBE FIRMINO ALITABIRIWA MAKUBWA TANGU MDOGO, WAZAZI WAKE WALIMZUIA KUCHEZA SOKA...
ROBERTO Firmino Barbosa de Oliveira, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Liverpool inaelezwa kuwa wazazi wake walikuwa hawataki kumuona akicheza soka wakihofia kuumia kwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra, Alhamisi, nafasi ya kushinda ndinga mpya upo mkononi mwako
SIMBA YAIPOTEZEA YANGA LIGI YA MABINGWA JUMLAJUMLA
BEKI wa Simba, Pascal Wawa, amefunguka kuwa kwa sasa wapinzani wao wakiwemo Yanga wanatakiwa kusahau juu ya kushiriki katika michuano ya Ligi ya Mabingwa...
YANGA YAPAGAWA NA POINTI MOJA ILIYOAMBULIA NDANI YA DAKIKA 180
BEKI wa Kulia wa Yanga amesema kuwa kitendo cha timu yake kuruhusu mabao kwenye mechi zao mbili ni hatari kwa afya ya timu yao...
KMC YAMALIZA HASIRA ZA SIMBA KWA KUTEMMBEZA KICHAPO DAKIKA 360, YANGA...
BAADA ya kupoteza kwa kufungwa mabao 2-0 mbele ya Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Machi Mosi, KMC imemaliza hasira zake kuwa kushinda...
KOCHA:KAGERE ATAWAFUNGA SANA KWA MWENDO HUU
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kwa kasi wanayokwenda nayo Simba ndani ya Ligi Kuu Bara ni nafasi ya mshambuliaji wao...
BRUNO APIGA MKWARA MZITO KWAMBA MOTO WAKE BADO SANA
KIUNGO wa Manchester United, Bruno Fernandes amesema kuwa moto wake ndani ya klabu hiyo hautazima lazima afanye maajabu makubwa.Nyota huyo ametwaa tuzo tatu ikiwa...
KAMBI YA TIMU YA JKT TANZANIA YAVUNJWA RASMI LEO
UONGOZI wa Klabu ya JKT Tanzania, leo Machi 18,2020 rasmi umevunja kambi yake kutokana na maelekezo yaliyotolewa jana na Serikali kupitia kwa Waziri Mkuu...
YANGA: TULIWABANA MBAVU NAMUNGO, WASHUKURU MWAMUZI
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwassa amesema kuwa Namungo FC washukuru bahati haikuwa yao kwani waliwabana mbavu na kushinda bao la halali ambalo lilikataliwa...
CHAN NA AFCON KUPANGIWA TAREHE, KAMBI YA STARS YAVUNJWA
MASHINDANO ya CHAN ambayo yanawashirikisha wachezaji wa ligi za ndani pamoja na yale ya Afcon yatapagiwa tarehe kulingana na hali itakavyokuwa ya ugonjwa wa...