Home Authors Posts by admin

admin

25198 POSTS 9 COMMENTS

TSHISHIMBI AICHOKONOA YANGA KUHUSU MKTABA WAKE

0
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hajaongeza mkataba ndani ya klabu yake hiyo hivyo yupo huru kuzungumza na timu yoyote itakayokuwa...

NGULI WA UNITED ATAJA KINACHOMBEBA BRUNO FERNANDES

0
BRUNO Fernandes, nyota wa Manchester United amekuwa msaada mkubwa ndani ya Klabu hiyo kwa sasa.Nguli wa zamani wa Klabu ya Manchester United Bryan Robson...

GADIEL MICHAEL: KUNA USHINDANI MKUBWA WA NAMBA SIMBA

0
GADIEL Michael, beki wa kushoto wa Simba amesema kuwa kuna ushindani mkubwa ndani ya kikosi cha Simba jambo linalomfanya afanye mazoezi kwa juhudi.Kwa sasa...

SALAMBA AJIFUNGIA NDANI AKIPIGA MATIZI KULINDA KIPAJI CHAKE

0
ADAM Salamba nyota wa Tanzania anayeperusha bendera ya Taifa nchini Kuwait amesema kuwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona kwa sasa anapiga matizi...

MWENYEKITI NJOREFA: NJOMBE MJI HALI NI MBAYA

0
YONO Kevela, Mwenyekiti wa Chama cha Soka mkoani Njombe (NJOREFA),amesema kuwa Klabu ya Njombe Mji ipo kwenye hali mbaya kiuchumi kwa sasa hivyo suala...

HIVI NDIVYO MSUVA WA EL JADIDA ALIVYOFANYA KUCHUKUA TAHADHARI YA CORONA

0
SIMON Msuva, nyota wa Tanzania anayekipiga kwenye Klabu ya El Jadida ya Morroco amesema kuwa kutokana na kuchukua tahadhari ya kusambaa kwa Virusi vya...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO, NAFASI YA...

0
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Jumatano, lipo mtaani nafasi ya kujishindia ndinga mpya ni yako

ELIAS MAGULI: TUNACHUKUA TAHADHARI YA CORONA ILI KUWA SALAMA

0
ELIAS Maguli, mshambuliaji wa Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe amesema kuwa kwa sasa wanachukua tahadhari kubwa ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya...

KOCHA COASTAL UNION AWAPA KAZI YA KUFANYA WACHEZAJI WAKE

0
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa wachezaji wake ni lazima wafanya mazoezi ili kulinda uwezo wao walionao kwenye soka.Kwa sasa Ligi...

LUSAJO AJIPA MUDA WA WIKI MOJA KABLA YA KUANZA KUJINOA

0
NYOTA wa timu ya Namungo, Reliants Lusajo amesema kuwa kwa sasa amejipa muda wa wiki moja kupumzika kabla ya kuanza mazoezi ya kulinda kipaji...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS