admin
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara baada ya ushindi wa KMC jana Uwanja wa Uhuru, imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 18 mpaka ya...
KMC WATAJA KILICHOWAPA USHINDI MBELE YA YANGA
SADALA Lipangile, mshambuliaji wa KMC amesema kuwa kilichowapa ushindi mbele ya Yanga ni juhudi za wachezaji kujituma ndani ya uwanja bila kuchoka.KMC jana ilishinda...
SIMBA YAOMBA RADHI KISA KICHAPO CHA MABAO 8 WALICHOIPA SINGIDA UNITED
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaomba radhi kwa mashabiki na timu ya Singida United kwa kuipa kichapo cha mabao 8-0 jambo...
KOCHA LIVERPOOL AMKINGIA KIFUA MLINDA MLANGO WAKE, ATAJA SABABU ZA KICHAPO
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kichapo walichokipata mbele ya Atletico Madrid kwa kufungwa mabao 3-2 ni uzembe wao wenyewe wa kuchelewa...
KICHAPO CHA BAO 1-0 WALICHOPOKEA YANGA MBELE CHAIKWEZA KMC KWA NAFASI...
KIKOSI cha Yanga leo kimekubali kichapo cha bao 1-0 mbele ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru.Kichapo cha leo ni...
MEDDIE KAGERE WA SIMBA ATAJA SABABU YA KUCHEKA NA NYAVU
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio ni ushirikiano anaoupata kutoka kwa wachezaji wenzake na kutimiza majukumu yake ndani ya kikosi...
MOURINHO: TATIZO LA KIKOSI CHANGU SIO LA KUISHA KESHO, MAMBO NI...
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa kwa sasa kwake mambo ndani ya kikosi hicho ni magumu kutokana na aina ya kikosi alichonacho.Mourinho...
POLISI TANZANIA: LIGI KUU BARA SI YA KITOTO
MARCEL Kaheza, mshambuliajai wa Polisi Tanzania amesema kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu unawafanya wakomae kusaka matokeo kwenye mechi zao zote...
PANGA KUSHUKA YANGA KWA MTINDO HUU
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa kuna mpango mkubwa wa kuwapiga chini wachezaji wake wote ambao hawana mchango mkubwa ndani ya timu.Yanga iliyo...