Home Authors Posts by admin

admin

24381 POSTS 9 COMMENTS

MBWANA SAMATTA AKUTANA NA HILI KUTOKA KWA BOSI WAKE MPYA, KAZI...

0
DEAN Smith, Kocha Mkuu wa timu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England amesema kuwa mshambuliaji wake Mbwana Samatta ni lazima aongeze juhudi ili...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI, JANUARI 26

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili

AZAM FC WAZIDI KUJIFUA, WATUMA UJUMBE HUU KWA WAPINZANI WAO

0
JAFFARY Maganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kikosi kinaendelea na maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa kesho, Januari 27 dhidi...

MBELGIJI AGEUKA MBOGO, AWAPIGA STOP WACHEZAJI YANGA

0
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, amewaambia wachezaji wake kuwa ni bora mpira upotee miguuni mwao lakini siyo kubutua mipira.Mbelgiji huyo alitoa...

NGOME MPYA YATENGENEZWA SIMBA

0
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amejijengea ngome ya kufunga mabao kwa kutumia viungo msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara. Viungo wa timu hiyo...

MSUVA AWAZIDI KETE WACHEZAJI WOTE EL JADIDA

0
Simon Msuva ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019 wa klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco.Msuva ameshinda tuzo hiyo...

HOFU YATAWALA MSIMBAZI, WAKALA WA KAGERE AFUNGUKIA DILI LA KWENDA SPAIN

0
Baada ya hivi karibuni kuwepo kwa taarifa kuwa baadhi viongozi wa Simba kuwa na hofu na uwezo wa mshambuliaji Meddie Kagere katika kutupia, Wazungu...

KICHUYA ATIBUA HALI YA HEWA SIMBA

0
SHIZA Kichuya mzee wa kona bao, ametibua hali ya hewa Simba kutokana na uwezo anaozidi kuonyesha kwenye mazoezi ya timu yake hiyo kiasi cha...

MORRISON APEWA MAAGIZO YANGA

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, amesema kuwa hapendi kuzungumzia uwezo wa mchezaji mmojammoja wa timu yake lakini kiwango ambacho amekionyesha kiungo mshambuliaji...

YANGA KUISHUSHA SIMBA KILELENI

0
KIUNGO mchezeshaji fundi Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ‘Fabregas’ amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwasisitiza wazibeze kejeli za Simba.Staa huyo mwenye mapenzi na Yanga, amesisitiza...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS