Home Authors Posts by admin

admin

24381 POSTS 9 COMMENTS

KAKOLANYA AWEKA AHADI SIMBA

0
MLINDA mlango namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amesema kuwa kwa sasa anataka kuweka rekodi mpya ndani ya Simba kwa kucheza mechi bila kuruhusu...

SIMBA YALIPA KISASI KWA MWADUI FC, MBISSA MIKONO MIA AKIONA KICHWA...

0
FRANCIS Kahata, kiungo wa Simba leo amewainua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la ushindi lililowapeleka hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho...

ISHU YA KIUNGO MIQUISSONE NI NZITO KWA SIMBA, YAPIGA HODI FIFA

0
UONGOZI wa Simba kupitia Ukurasa wake wa Instagram umetoa taarifa kuhusu wachezaji wake wapya ambao imewasajili kwenye dirisha dogo.Simba iliwasajili viungo viwili ambao ni...

FA: SIMBA 0-0 MWADUI FC

0
Kipindi cha Kwanza: Simba 0-0 MwaduiUwanja wa UhuruKombe la Shirikisho hatua ya 32 BoraDakika ya 20 Dilunga anafanya jaribio ndani ya 18 akiwa na...

MORRISON, MASHINE MPYA YA YANGA YAZUNGUMZIA ISHU YA USHINDANI WA NAMBA

0
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa kilichomtoa Ghana mpaka Bongo ni kazi tu jambo ambalo linamfanya afikirie kufanya vema muda wote.Morrison amesajiliwa...

MASHABIKI WAOMBWA KUIPA SAPOTI LIPULI, LIGI NI MOTO

0
PAUL Nonga nahodha wa Lipuli amesema kuwa ligi ya msimu huu wa 2019/20 ni ngumu jambo linalowafanya wapambane wakiwa ndani ya uwanja kupata matokeo.Lipuli...

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MWADUI FC, MANULA NJE

0
Kikosi cha Simba dhidi ya Mwadui FC1-Beno Kakolanya2-Shomary Kapombe3-Mohamed Hussein4-Erasto Nyoni5-Pascal Wawa6-Jonas Mkude7-Hassan Dilunga8-Sharaf Shiboub9-Meddie Kagere10-Clatous Chama11-Francis KahataSUBs-Ally Salim-Gadiel Michael-Tairone Santos-Gerson Fraga-Rashid Juma-Ibrahim Ajibu-John...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MWADUI, KAKOLANYA TENA, SALIM...

0
HIKI ndicho kikosi cha Simba kitakaochoanza leo Uwanja wa Uhuru, Januari 25 Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora.

MBELGIJI WA YANGA AWAPA KAZI NYINGINE WACHEZAJI WAKE

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa washambuliaji wake wote wana kazi moja tu uwanjani kufunga na kutengeneza nafasi za mabao ili kuongeza...

NYOTA WA KMC AFICHUA KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YA KUTEMBEZA MABAO...

0
CHARLSE Ilanfya, mshambuliaji wa KMC amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kurejea Uwanjani kutokana na kusmbuliwa na majeraha kwa muda mrefu,Ilanfya alijiunga na KMC kwenye...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS