Home Authors Posts by admin

admin

24376 POSTS 9 COMMENTS

MATOKEO YA MECHI ZA NYUMA ZA AZAM FC NA YANGA ZIPO...

0
IKIWA leo Azam FC itamenyana na Yanga matokeo yao yapo namna hii kwenye mechi zao zilizopita:-2010/11, Yanga 2-1 Azam, Azam 0-0 Yanga, 2011/12, Azam...

KINACHOIBEBA COASTAL UNION CHATAJWA

0
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kinachoibeba timu yake kupata matokeo chanya ni kujituma kwa wachezaji wake na kufuata kile ambacho...

HUU NDIO ‘UGONJWA’ WA BEKI KISIKI WA SIMBA

0
BEKI kisiki ndani ya kikosi cha Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast amesema kuwa 'ugonjwa' wake mkubwa kwenye chakula ni wali samaki.Akizungumza na...

HIZI HAPA DAKIKA 450 ZA MOTO KWA MBELGIJI WA YANGA, RATIBA...

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji ana kibarua kizito cha kuzimega dakika 450 ambazo ni za moto kwake kutokana na kuanza...

HUYU HAPA NYOT WA AZAM FC AMEPEWA JUKUMU LA KUIMALIZA YANGA...

0
NICHOLAUS Wadada, beki kisiki wa Azam FC leo amepewa kazi moja ya kuigoza safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Obrey Chirwa kuimaliza Yanga ya Mbelgiji,...

TAARIFA KUBWA YA USAJILI KUTOKA YANGA

0
Listi kamili ya Wachezaji wa Yanga waliosajiliwa, kutolewa kwa mkopo na kuachwa katika dirisha dogo la Usajili mwezi Januari 2020.

USHINDI WA MBAO WAMPA KIBURI SVEN, AZITOLEA MACHO POINTI TATU ZA...

0
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ushindi mbele ya Mbao FC umewapa nguvu wachezaji wake kupambana kwenye mechi zao za ligi.Simba kesho...

AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA LEO TAIFA

0
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa leo ataingia uwanjani kwa tahadhari mbele ya Yanga na hesabu zake ikiwa ni kuzipata pointi...

YOUNG AIPA MKONO WA KWAHERI UNITED, SASA NI MWANA INTER MILAN

0
ALIYEKUWA nahodha wa Manchester United, Ashley Young amekamilisha dili lake la kujiunga na klabu ya Inter Milan.Beki huyo mwenye miaka 34 hakuwa tayari kubaki...

SIMBA SC YACHOTA MILIONI 633, CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi, Januari 18,2020
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS