Home Authors Posts by admin

admin

24376 POSTS 9 COMMENTS

KAGERA SUGAR YAMUIBUA HAJI MANARA KWA FUJO, ATOA TAMKO ZITO JUU...

0
Baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara jana, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara,...

TSHISHIMBI AONDOKA YANGA

0
Inaelezwa kuwa kuwa kiungo wa Yanga, Mkongomani, Papy Tshishimbi ametimkia  kwao Congo kuangalia familia yake.Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Luc Eymael, alisema Papy...

KAGERA SUGAR YAMKAZIA MBELGIJI WA YANGA, YAMTANDIKA BAO 3-0

0
YUSUPH Mhilu mshambuliaji wa Kagera Sugar leo amekiongoza kikosi chake kuingamiza Yanga kwa mabao 3-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo, Januari,15,...

LIGI KUU BARA: YANGA 0-1 KAGERA SUGAR

0
Kagera Sugar wanatangulia kupata bao la kwanza dakika ya 13 kupitia kwa Yusuph Mhilu baada ya beki wa Yanga kujichanganya kuokoa hatariUWANJA wa Uhuru...

MTIBWA SUGAR MNASTAHILI PONGEZI KWA KUTWAA TAJI LA MAPINDUZI 2020, WAZAWA...

0
MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2020 safari yake ilihitimishwa rasmi, Januari 13, Jumatatu wiki hii ambapo mchezo wa fainali ulipigwa kati ya...

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR

0
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Kagera Sugar, Januari 15,2020, Uwanja wa Uhuru

KAGERA SUGAR: MASHABIKI NJOONI MUONE BURUDANI MBELE YA YANGA

0
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar hajawa na matokeo mazuri kwenye mechi zake za Ligi Kuu Bara ndani ya mwaka mpya 2020 kwa...

JAMES KOTEI AZUNGUMZIA ISHU YAKE NA YANGA, KILICHOMKUTA KAIZER CHIEFS ACHA...

0
KIUNGO bora ndani ya klabu ya Simba msimu wa mwaka 2018/19 James Kotei ambaye alitimkia Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini amekubaliana kuvunja mkataba na...

MBELGIJI WA YANGA KUTESTI MITAMBO LEO MBELE YA KAGERA SUGAR, TAMBO...

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael na msaidizi wake Riedoh Berdien ambao wamepewa kandarasi ya mkataba wa mwaka mmoja na nusu leo watakuwa na...

AZAM FC KAZINI TENA EO MBELE YA LIPULI, TAIFA

0
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC  leo ana kazi nzito mbele ya Lipuli FC kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Lipuli utakaochezwa Uwanja...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS