Home Uncategorized LIGI KUU BARA: YANGA 0-1 KAGERA SUGAR

LIGI KUU BARA: YANGA 0-1 KAGERA SUGAR


Kagera Sugar wanatangulia kupata bao la kwanza dakika ya 13 kupitia kwa Yusuph Mhilu baada ya beki wa Yanga kujichanganya kuokoa hatari

UWANJA wa Uhuru kwa sasa mchezo unaondelea ni kati ya Yanga na Kagera Sugar.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona burudani na ushindani wa ligi ambayo inazidi kuchanja mbunga.

Kwa sasa ni kipindi cha kwanza Uwanja wa Uhuru.

SOMA NA HII  TFF YAWAKA JUU YA RATIBA LIGI KUU, YAITAJA YANGA