Home Authors Posts by admin

admin

25025 POSTS 9 COMMENTS

PAMBA YAPOTEZA MBELE YA GEITA GOLD

0
NYOTA wa Geita Gold inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza, George Mpole jana aliisepa na mpira wake baada ya kuitungua mabao matatu timu ya Pamba...

HUYO LUKAKU ANASIFA, WAPINDUA MEZA KIBABE NA TIMU YAKE MBELE YA...

0
LICHA ya Ante Rebic wa AC Milan kufunga bao la kuongoza kwa timu yake dakika ya 40 na Zlatan Ibrahimovic kupachika msumari wa pili...

MBARAKA YUSUPH AREJEA RASMI AZAM FC BAADA YA KUWA NJE MWAKA...

0
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amerejea uwanjani baada ya kukaa nje kwa muda wa mwaka mmoja.Mbaraka alikuwa anasumbuliwa na majeraha ya goti aliyoyapata...

SENZO AMKATALIA SVEN, MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI...

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele GAZETI la CHAMPIONI Jumatatu, Februari 10.

WAAMUZI WAJITOA LIGI KUU BARA

0
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea maombi ya waamuzi saba wanaotaka kutopangwa kuchezesha baadhi ya mechi za Ligi Kuu Bara kutokana na presha na...

BOSI MPYA BODI YA LIGI AJA NA AGIZO ZITO

0
UONGOZI wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) umemtangaza Almas Kasongo kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu mpya wa Bodi ya Ligi (TPLB) kuchukua nafasi...

VITA YA MANARA NA JERRY MURO YAREJEA TENA

0
Ile vita ya maneno iliyokuwa ikivuma miaka takribani mine iliyopita kati ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara na Aliyekuwa Afisa Habari wa Yanga,...

MORRISON ATAJWA KUWA TISHIO ZAIDI YANGA, KOCHA AANIKA SABABU

0
Luc Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji, amesema kuwa mchezaji wake Bernard Morrison atafunga mabao mengi kwenye ardhi ya Bongo kutokana na...

MUZIKI WA KOCHA BORA, MCHEZAJI BORA NI MOTO JANUARI, CHEKI WANAVYOKIMBIZANA

0
JANUARI wengi wanapenda kuuita mwezi dume kutokana na kuwa na majalada mengi ambayo yamechanganywa sehemu moja ila ghafla tu umemeguka na sasa ni Februari.Kwenye...

KUNA UMUHIMU WA HAKI KUTENDEKEA KWA UPANDE WA WAAMUZI WA BONGO

0
SIKU hizi vijiwe vyote mada ni moja tu, suala la waamuzi kuboronga kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, hakuna kingine.Niko kwenye kijiwe kimoja cha kahawa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS