Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

MWAMBA WA LUSAKA KUENDELEZA MAKALI YAKE LEO CAF?

0
Kama hatajwi sana lakini ni moja ya soka ndani ya miamba wa Msimbazi, Simba SC kutokana na mchango wake wa kuiwezesha timu hiyo kutinga...

ZESCO UNITED KUKUTANA NA YANGA KWA MKAPA

0
Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Green Mamba ya Eswatin umewafanya miamba hao wa Zambia kukutana na Yanga katika mechi ya raundi ya kwanza...

MBOSSO AFUNGUKA, ASEMA WCB NI PAGUMU, AELEZA DIAMOND NI TATIZO –...

0
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Mbosso Khan, anayetamba hivi sasa na ngoma yake ya MAAJAB, amefunguka kuhusiana na watoto wake ambao kwa sasa...

LIST KAMILI YA WACHEZAJI SIMBA WATAKAOIKOSA UD SONGO LEO HII HAPA...

0
Kocha wa klabu ya Simba, Patrick Aussems akifunguka kuhusiana maandalizi ya mchezo wa leo dhidi ya UD Songo.

MANARA AVUNJA UKIMYA, AFUNGUKA KUHUSIANA NA YANGA

0
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka kwa kuipongeza Yanga baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Township Rollers.Yanga imepata ushindi...

TOWNSHIP ROLLERS YAENDELEA KUMPA ULAJI ZAHERA YANGA

0
Dalili zinaonesha Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ataendelea kusalia kunako timu hiyo baada ya ushindi wa jana dhidi ya Township Rollers.Yanga ilifanikiwa kuitandika...

YANGA YATOA DOZI KWA WABOSTWANA, AZAM NAYO MWENDO MDUNDO, YATOA KICHAPO...

0
Dakika 90 zimemalizika katika Uwanja wa Taifa wa Bostwana kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Township Rollers katika mechi ya...

LIIVE!! TOWNSHIP ROLLERS 0-0 YANGA, LIGI YA MABINGWA AFRIKA

0
Dak ya 8, Yanga wanapata kona ya kwanza, inapigwa lakini inashindwa kuzaa matundaDak ya 7, Paul Boxer anarusha mpira kuelekea lango la wapinzaniDak ya...

KIKOSI CHA AZAM FC VS FASIL KENEMA

0
Kikosi cha Azam FC dhidi ya  Kenema1. Razak Abalora2. Nickolas Wadada3. Bruce Kangwa 4. Daniel Amoah 5. Yakubu Mohamed 6. Frank Domayo7. Emmanuel Mveyekure8. Salum Abubakary Sure...

PRETTY KIND: NGUO NINAZOVAA NI ZA GHARAMA KUBWA

0
MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii ya Mystyle, natumai unaendelea poa na shughuli za kulijenga taifa. Kama unaumwa, basi Mungu akupe nguvu na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS