Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

YANGA YAKUBWA NA MSALA, MAKOMANDOO WAJIONDOA, WAANDIKA BARUA, IDADI KAMILI HII...

0
Imeelezwa kuwa kundi la Task Force lililokuwa linahusika na kulinda timu ya Yanga katika michezo mbalimbali limeandika barua ya kuvunja na kujiondoa rasmi katika...

SIMBA:TUNAITAKA NGAO YA JAMII, TUTAPAMBANA MBELE YA AZAM FC

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna namna yoyote ile watakayofanya mbele ya Azam FC kwenye mchezo wao wa ngao ya jamii zaidi ya kushinda...

AZAM FC YAANZA KUIWINDA SIMBA, YAPANIA KUFANYA MAAJABU

0
AZAM FC tayari wameanza maandalizi ya kuiwinda Simba kwenye mchezo wa ngao ya jamii utakaochezwa Agosti 17 uwanja wa Taifa.Mchezo huo maalumu kwa ajili...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi

SIMBA KUNYOOSHA NYUMBANI / YANGA MWALIMU AJIPANGE, KMC NAWAKUBALI ” PONDAMALI”...

0
Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga Juma amesema ana imani kubwa na klabu ya Simba katika michuano ya Kimataifa kuliko klabu ya Yanga...

YANGA YAONA ISIWE TABU, YATINGA CAF

0
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuwa umetuma maombi Caf ili kuweza kupata leseni za wachezaji wao wa kimataifa, Farouk Shikalo, Maybin Kalengo na...

TABU NYINGINE YAIANDAMA YANGA, MMOJA NJE KWA MUDA USIOJULIKANA

0
Beki wa kulia ya Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ sasa atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata Jumamosi iliyopita...

UTATA KIFO FRANCIS CHEKA: MKEWE AFUNGUKA KILA KITU – VIDEO

0
Siku chache zilizopita ulizuka uvumi wa kwamba bondia, Francis Cheka, amefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro baada ya lori la mafuta...

MECHI MOJA TU KIMATAIFA, SIBOMANA AWEKA REKODI CAF

0
Mshambuliaji wa Yanga, Patrick Sibomana Jumamosi iliyopita aliweka rekodi mpya kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika ambayo inasimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf).Mshambuliaji...

HARMONIZE AVUNJA ‘MWIKO’ WA WCB, AMFUATA ALIKIBA

0
TETESI za Msanii Harmonize kuondoka katika lebo ya WCB zimeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii hapa Bongo hasa baada ya Harmonize kufuta neno ‘Signed...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS