Home Authors Posts by admin

admin

24371 POSTS 9 COMMENTS

SIMBA YAZIDI KUIPOTEZA MAZIMA YANGA, MO AONGEZA MABILIONI MENGINE KIKOSINI

0
Mfanyabiashara Bilionea na Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji Mo, ameongeza bajeti ya mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita mara mbili...

WAMBURA AVIFUNGIA VIWANJA VITATU LIGI KUU

0
Bodi ya Ligi limevifungia viwanja vitatu vinavyotumia katika mechi za Ligi Kuu Bara.Viwanja hivyo ni:- Uwanja wa Mwadui (Shinyanga), Manungu (Morogoro) na Mabatini (Pwani).Viwanja...

AZAM FC KUTESTI MITAMBO KWA NAMUNGO FC LEO

0
KIKOSI cha Azam FC leo kitacheza mchezo wa kirafiki na Namungo FC uwanja wa Chamazi majira ya saa 1:00 jioni.Mchezo huo wa kirafiki ni...

WACHEZAJI LIGI KUU ENGLAND WANAPUMZIKA VYA KUTOSHA?

0
Nchini Uingereza mwezi Agosti ni wakati wa mapumziko na familia hutumia muda huo kujumuika pamoja baada ya shule kufungwa.Lakini kwa wachezaji wa ligi kuu...

STERLING KUFIKIA KIWANGO CHA MESSI?

0
Huku akiwa alifunga magoli 17 msimu uliopita , matatu katika mechi moja msimu huu- Raheem Sterling yuko tayari kwa msimu mwengine bora mwaka huu.Mshambuliaji...

MWILI WAFUKULIWA, WAVULIWA SARE ZA KAZI

0
SERIKALI magharibi mwa Kenya imefukua mwili wa mkazi mmoja ili kumvua sare alizozikwa nazo kulingana na ripoti.Martin Shikuku Alukoye alizikwa akiwa na sare zake...

SANCHEZ AWAGEUZIA KIBAO MAN UNITED, TETESI KIBAO ZA SOKA DUNIANI HIZI...

0
Alexis Sanchez anakataa kuondoka Manchester United msimu huu, pamoja na kwamba kocha Ole Gunnar Solskjaer kutishia kumfanya kuwa mchezaji wa akiba ikiwa atasalia na...

JOSHUA KURUDIANA NA BONGE SAUDI ARABIA

0
PAMBANO  la marudiano kati ya Andy Ruiz Jr na Anthony Joshua litafanyika mwezi Desemba mwaka huu nchini Saudi Arabia, promota wa Joshua, Eddie Hearn,...

IMEVUJA!! MDHAMINI MKUU LIGI KUU BARA KUTANGAZWA

0
Baada ya msimu uliopita kunako Ligi Kuu Bara kumalizika bila ya kuwa na mdhamini mkuu, taarifa za ndani zinasema Shirikisho la Soka la Tanzania...

NAMNA LIVERPOOL ILIVYOTWAA NDOO SUPER CUP BILA ALISSON BECKER

0
TIMU  ya Liverpool usiku wa kuamkia leo Agosti 15, 2019,  katika Uwanja wa Vodafone mjini Instanbul nchini Uturuki imefunga timu ya Chelsea kwa mikwaju...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS