admin
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatano
HI NI NEEMA, MMOJA YANGA AMWAGIWA MIFEDHA
MSHAMBULIAJI wa Yanga raia wa Uganda, Juma Balinya Jumamosi iliyopita alioga noti kutoka kwa viongozi na mashabiki wa timu hiyo waishio Botswana na nchi...
MCHEZAJI YANGA ATAJA MADHAIFU YA TIMU HIYO KUELEKEA MECHI NA ZESCO,...
Aliyewahi kuwa mchezaji wa Yanga, Ally Mayay Tembele, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera, kuhakikisha inafanyia kazi...
WMBO WA DIAMOND PLATNUMZA WAPIGWA MARUFUKU KENYA
Wimbo Tetema wa Msanii Raymond Mwakyusa maarufu Rayvanny aliomshirikisha Diamond Platnumz umepigwa marufuku kupigwa katika maeneo ya wazi nchini Kenya.Mbali na Tetema, wimbo mwingine...
NADO ATUPIA KAMBANI AZAM IKIITWANGA KMC 1-0 UWANJA WA UHURU
Azam FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC, mechi ikichezwa kunako Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo...
WASHINDI WA MILIONI 825 ZA JACKPOT BONUS SPORTPESA WAELEZEA WALIVYOZIPATA
WASHINDI wawili wa Shilingi 825, 913, 640 za Jackpot Bonus ya SportPesa jana waliwasili jijini Dar es Salaam na kukabidhiwa mamilioni yao huku wakifungukia...
BAADA YA KUAGA CAF, KOCHA SIMBA ANAAMINI HIKI NDIO KITU SAHIHI...
Ikiwa ni baada ya kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa hasira zote wanazihamishia kwenye Ligi...
KOCHA AUSSEMS AELEZA SABABU ZA KUMUWEKA KANDO MKUDE KIKOSI KINACHOANZA LIGI...
Yule kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude leo alikosekana kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana, Posta jijini Dar es Salaam.Timu...
EXCLUSIVE: BARAKA MPENJA ATAJA TIMU ANAYOSHABIKIA – VIDEO
Mtangazaji wa kituo Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi ambaye utangazaji wake umekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na watu wengi wakisema...