admin
GUARDIOLA AJIUNGA GIRONA FC
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amejiunga na klabu ya Girona ya Hispania ambayo ilishuka daraja msimu uliopita.Guardiola amejiunga na klabu hiyo kama mwanachama...
KOCHA STARS: WACHEZAJI SASA WAMEANZA KUIVA, TIMU KUTIA TIMU BONGO LEO
SELEMAN Matola, Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema wachezaji wameanza kucheza soka linaloeleweka wakiwa uwanjani tofauti na mwanzo jambo linalotoa...
HASSAN MWAKINYO AOMBA KUPIGWA TAFU NA SERIKALI
HASSAN Mwakinyo, bondia wa ngumi za kulipwa Bongo ambaye ni balozi wa kampuni ya kubashiri ya SportPesa ameiomba Serikali kuongeza nguvu ya uwekezaji kwa...
STARS YAJIVUNIA UWANJA WA NYUMBANI, SASA KAZI YA BURUNDI KUISHIA TAIFA
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa anawashukuru mashabiki wa Tanzania kwa kutoa sapoti kubwa jana wakati timu...
BEI MPYA ZA VING’AMUZI VYA DSTV, MAMBO KWA ULAINII….
Kila mtu macho kodo kwa punguzo la hadi 36%DStv PremiumSasa ni TZS 129,000/=Kutoka TZS 169,000/=DStv Compact PlusSasa TZS ni 84,000/=Kutoka TZS 109,000DStv CompactSasa ni...
AZAM FC YAPANIA KUFANYA MAKUBWA MBELE YA WAZIMBABWE
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kupeperusha bendera ya Taifa Kimataifa kwa kupata matokeo chanya mbele ya Triangle FC ya Zimbabwe.Mchezo huo...
YANGA YAZIPIGIA HESABU NDEFU PESA ZA CAF
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unajipanga kufanya vema kwenye michuano ya kimataifa inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) ili kufikia hatua ya makundi...
WALIOOA FC VS WASIOOA KESHO HAPATOSHI UWANJA WA CHUO CHA USTAWI...
Hatimaye ule mpambano wa kukata na shoka kutoka katika Kampuni ya Global Group, kati ya timu ya Waliooa FC dhidi ya vijana Wasiooa unapigwa...
SIRI YA NEYMAR YAFICHUKA REAL
Sababu kuu tatu ndizo zinaelezwa kuwa zilisababisha Real Madrid kuachana na mpango wa kumsajili staa wa Paris St. Germain, Neymar. Pamoja na baba wa...
JUMA ABDUL APATWA NA PIGO KUBWA, AFIWA NA MAMA YAKE
Beki wa kulia wa Klabu ya Yanga, Juma Abdul Jaffar Mnyamani amepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na mama yake mzazi ambaye amefariki dunia...