admin
AZAM FC YACHEKELEA KUTINGA ROBO FAINALI
UONGOZI wa Azam FC umechekelelea kutinga hatua ya robo fainali baada ya timu ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mukura FC.Akizungumza na...
MANCHESTER UNITED YAFUTA KABISA MPANGO WA KUMUWINDA LEMINA
MANCHESTER United imefutilia mbali nia yao ya kutaka kumsajili kiungo wa Southampton, Mario Lemina mwenye umri wa miaka 25.Kiungo huyo amekuwa akihusishwa kutua ndani...
SIMBA RAHA AISEE, BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI GADIEL AONESHA NDINGA...
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba SC, beki Gadiel Michael ameweka hadharani ndinga yake mpya...
COASTAL UNION YAUPIGIA HESABU KALI MSIMU UJAO
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa msimu ujao watapambana kupata matokeo chanya kwenye michezo yao yote.Akizungumza na Saleh Jembe, Mguda amesema...
UONGOZI WA YANGA KULA SAHANI MOJA NA WAPIGAJI WA NEMBO
UONGOZI wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki na wadau wa Yanga kuacha vitendo vya kuihujumu nembo ya Yanga kwa kuchukua bidhaa feki kwani tayari...
SIMBA YAAHIDI KUCHUKUA MATAJI YOTE TANZANIA – VIDEO
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara akizungumzia kuhusiana na suala la timu yao kuendelea kuchukua mataji ya Ligi Kuu Bara.
KUMEKUCHA. YANGA, SIMBA KUSAJILI KWA FAINI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zinapaswa kukamilisha usajili kwa njia ya mtandao (Tanfootball Connect) kabla ya...