admin
KOCHA YANGA AANZA NA MBINU YA KUWAMALIZA AS VITA
Katika kuhakikisha kikosi cha Yanga kinakuwa imara zaidi msimu ujao, Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Noel Mwandila amewaanzisha tizi la kibabe wachezaji hao kwa...
HATMA YA AZAM FC KUTINGA ROBO FAINALI KAGAME MIKONONI MWA MUKURA...
ETTIENE Ndayiragije, Kocha wa Azam FC amesema kuwa suluhu waliyoipata leo kweye michuano ya Kagame dhidi ya Bandari inawaweka kwenye wakati wa kusubiri hatma...
HOLDING WA ARSENAL MAJANGA, KUANZA AKIWA NJE MSIMU UJAO
ROB Holding beki wa Arsenal anatarajiwa kukosa mechi za mwanzoni mwa msimu ujao kutokana na kuendelea kuuguza jeraha lake la goti alilolipata Desemba mwaka...
SIMBA YAKUBALI KUPIGWA FAINI YA USAJILI
Wakati usajili wa kimataifa ukifungwa rasmi Julai 10, mwaka huu, Klabu ya Simba imesema haina hofu, ipo tayari kutoa faini ili kuweza kukamilisha usajili...
YANGA, SIMBA KUKAMULIWA ‘MIDOLA’ NA TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limezitaka timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara kukamilisha usajili Kwa njia ya mtandao (Tanfootball Connect) kabla ya usajili kufungwa...
SIMBA YAMPELEKA MCHEZAJI YANGA HOSPITALI
Uongozi wa Simba umesema kuwa, wachezaji wa timu hiyo walianza kutua nchini kuanzia juzi Jumatatu na wanatarajiwa kuingia kambini Julai 15 lakini wataanza kwanza...
NDAYIRAGIJE APANIA REKODI KUBWA
Kocha Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije, amesema, anachokifanya kwenye michuano ya Kagame nchini Rwanda ni kusaka rekodi ikiwemo kutetea kombe lao hilo.Azam FC...
AJIBU, GADIEL WAPELEKWA MAMELODI SUNDOWNS
Wachezaji wapya wa Simba, Ibrahim Ajibu na Gadiel Michael watakutana na zali la kupelekwa katika Klabu ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini ambako timu...
KIPA MPYA YANGA AMTAJA YONDANI
Kipa mpya wa Yanga, Metacha Mnata, amefunguka kuwa anafurahi kupata nafasi ya kucheza timu moja na beki Kelvin Yondani kwa sababu ni mchezaji mkubwa...
SIMBA YAGOMBANIWA NA WASAUZI
IMEBAINIKA kuwa wakati Simba ikitarajiwa kuondoka kwenda Afrika Kusini kuweka kambi Jumatatu ijayo, klabu kibao za Sauz zimeomba kucheza mechi za kirafiki na Simba...