Home Authors Posts by admin

admin

24903 POSTS 9 COMMENTS

KMC YAPANIA KUFANYA KWELI RWANDA

0
UONGOZI wa KMC umesema kuwa utaitumia michuano ya kombe la Kagame kwa ajili ya kujiaandaa na michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.Akizungumza...

ASKARI AJIUA KISA MKWEWE

0
MOROGORO: Inasikitisha! Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Setembo, Rajabu Athumani (60), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga, kisa kikidaiwa ni mauaji ya mkwewe, Amani lina...

YANGA YAPINDUA MEZA USAJILI WA GADIEL

0
MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Dk Mshindo Msolla amezungumzia mjadala wa usajili wa beki wa pembeni, Gadiel Michael na kutoa ruhusa ya mchezaji huyo...

AZAM FC: TUNAPAMBANA KWA AJILI YA TAIFA KAGAME

0
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wachezaji watapambana kupata matokeo chanya kwenye michezo yote ili kurejea na kombe lao la Kagame....

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

POGBA NOMA, KUPELEKA NYOTA WAWILI NDANI YA UNITED

0
REAL Madrid wajanja sana wameamua kuwapa wachezaji wawili mabosi wa Manchester United ili kuipata saini ya kiungo wao Paul Pogba.Imeelezwa kuwa Madrid kwa sasa...

SENEGAL YAKIRI MUZIKI WA UGANDA ULIKUWA WA MOTO

0
LICHA ya kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa hatua ya 16...

KAGERA SUGAR: MSIMU UJAO TUTATISHA

0
KOCHA wa kikosi cha Kagera Sugar, Meky Maxime amesema kuwa kwa sasa wamejipanga kufanya usajili makini utakaowafanya walete ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara.Msimu...

DILI LA AFRIKA KUSINI LAWA GUMU KWA DIDA WA SIMBA

0
DEOGRATIUS Munish ambaye ameachana na Simba baada ya kumaliza kandarasi yake ya mwaka mmoja amesema kuwa kwa sasa bado hajajua ni timu gani ataichezea...

AJIBU AKATAA JEZI SIMBA

0
AJIBU ameliamsha Msimbazi baada ya kugomea kukabidhiwa jezi namba 23.Namba hiyo 23 ilikuwa inavaliwa na kiungo huyo mtaalam wa assisti, awali akiwa anaichezea Simba...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS