admin
NYIMBO MAALUM ALIYOIMBIWA HAJI MANARA NA YANGA KISA KUOMBA KIWANJA HII...
Nyimbo maalum aliyoimbiwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, na mashabiki wa Yanga kufuatia kitendo chake cha kuomba klabu yake ipewe uwanja.
SIMBA YATOA DOZI JIJINI MWANZA, YAITANDIKA GWAMBINA 4-2
Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 yaliyopatikana kwa njia ya penati dhidi ya Gwambina FC jijini Mwanza.Ushindi huo umepatikana kufuatia dakika 90...
SIMBA WASAJILI MSHAMBULIAJI MBRAZIL, KUWAONGEZEA NGUVU KAGERE, BOCCO
Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wameongeza nguvu katika safu yao ya ushambulizi baada ya kumsajili, Wilker Henrique da Silva kutoka nchini Brazil.Wilker amejiunga na...
HAJI MANARA AWAONEA WIVU YANGA
IMEBAINIKA kuwa Simba walikuwa wanawaonea wivu Yanga baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumamosi iliyopita kutangaza kuipa Yanga uwanja...
HAKIKA SIMBA WAMEAMUA, SABA WA KIGENI KUPIGWA CHINI NA WAPYA KUSAJILIWA
Klabu ya Simba imepanga kuwatema wachezaji saba wa kigeni ndani ya klabu hiyo, imeelezwa.Wachezaji wanaotajwa ni kiungo Haruna Niyonzima, James Kotea raia wa Ghana,...
KUSAJILI WAPYA SAWA, LAKINI KWA JAMES KOTEI MTAKOSEA
Na Saleh AllyMABINGWA wa soka Tanzania, Simbawamemchukua mmoja wa viungo bora kabisabarani Afrika, huyu ni Sharaf Eldin Shiboub AliAbdalrahman kutoka nchini Sudan.Sharaf ni raia...
ACHENI KULALAMIKA, UNACHOPATA SASA NI KILE ULICHOPANDA 2018/19
NA SALEH ALLYUSAJILI umekuwa ukipamba moto kwa kilaklabu kwa sasa. Kila upande unataka kujiwekavizuri kwa ajili ya msimu ujao.Hili si zoezi geni kutokea katika...
CAF YAMRUHUSU KESSY KUIVAA SENEGAL JUMAPILI
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemruhusu beki wa timu ya soka ya taifa Taifa Stars, Hassan Kessy,kucheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Senegal, utakaofanyika...
Wanyama; ‘Wanasema Kenya na Tanzania ndio underdogs!, tumebadilika
NAHODHA wa Kenya, Victor Wanyama amewaonya wale wote wanaozibeza Harambee Stars na timu ya Taifa ya Tanzania katika kundi la Tatu la...
TAIFA STARS MUDA WA KUTUSUA NI SASA FANYENI KWELI
MWENDO wa hesabu kali Kwa sasa ukizingatia kwamba tumekwama kwa muda wa miaka 39 tukishuhudia wengine wakionyesha maajabu yao kwenye michuano mikubwa ya Afcon...