admin
KIKOSI CHA NAMUNGO FC 2019-20
KIKOSI cha Namungo FCMakipaAdamu OsejaLucas ChembejaWalinziMizar KristomAlly KoroshoJukumu KibandaFaisal Mganga Hamisi Mgunya Paul NgalemaCarlos Protus ViungoHamisi Nyenye John MbiseDaniel Joram Ben Silvester Jamal Dulaz Steve Nzigamasabo Lukas Kikoti Selemani Bwenzi WashaambuliajiReliants Lusajo Abeid AthumaniJohn KelvinBigirimana...
KMC KUIKAZIA TP MAZEMBE
UONGOZI wa KMC umesema kuwa leo utapambana kupata matokeo chanya mbele ya TP Mazembe kwenye mchezo wa pili wa michuano ya Kagame.Akizungumza na Saleh...
MTIBWA SUGAR: HATUNA PRESHA NA VURUGU ZA SIMBA NA YANGA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa hauna hofu na fujo za timu kubwa ambazo zinafanya usajili wa kutisha kwani wao wana kiwanda cha kutengeneza...
NDANDA, KAGERA SUGAR ZAIKOMALIA MWADUI FC
KLABU za Mwadui FC, Kagera Sugar na Ndanda FC zipo vitani kwa ajili ya kupata saini ya kiungo Abdallah Seseme.Kiungo huyo bado timu yake...
MCHEZAJI YANGA AAHIDI KUIVUA UBINGWA SIMBA
Baada ya kukamilisha dili la kujiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, beki Ally Mtoni ‘Sonso’ ameahidi msimu ujao lazima waivue Simba ubingwa...
IMETHIBITISHWA! POGBA KUSEPA MAN U
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba imethibitika rasmi kuwa anaondoka Manchester United. Wakala wake Mino Raiola juzi aliibuka na kusema wazi kuwa anashughulikia suala...
ZAHERA AFUNGUKA JUU YA AJIBU KUSAINI SIMBA
Kocha Mkuu wa Yanga, Emmanuel Amunike amesema kuwa inawezekana Ibrahim Ajibu aliogopa kujiunga na TP Mazembe ya Congo ndiyo maana alikataa kusajiliwa.Zahera ambaye hivi...
WANASIASA ACHENI TFF IFANYE KAZI YAKE, MWISHO MZIGO UTABAKI KWAO
NA SALEH ALLYTANGU uongozi wa Rais John PombeMagufuli umeingia madarakani ikiwa niawamu ya tano, suala la kupunguza siasaili kazi ifanyike, limekuwa likizungumziwasana.Suala la siasa...