admin
YANGA SASA NI BALAA, SIBOMANA AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI YANGA
Klabu ya Yanga imeendelea kuonesha makucha yake baada ya kumalizana na kiungo Patrick Sibomana kutoka Rwanda.Yanga imezidi kuboresha kikosi chake kutokana na wachezaji wengi...
TAARAB NCHINI YAPATWA NA PIGO, MAMA MZANZI WA ISHA MASHAUZI AFARIKI...
Muimbaji wa taarab nchini Bi. Rukia Juma, ambaye pia ni mama mzazi wa msanii Isha Mashauzi, amefariki dunia leo Mei 29, 2019 akiwa njiani...
RAIS FIFA AIPONGEZA SIMBA KUTWAA UBINGWA
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), ameipongeza Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu
Dili la Ajibu limefufuka, TP Mazembe warudi tena
Baada ya TP Mazembe kuachana na usajili wa Ibrahim Ajib Migomba wiki hii kwa madai ya kutoelewana wao na mchezaji.TP Mazembe wamerudi...
FRANK LAMPARD MAJANGA HUKO ULAYA
NDOTO za Frank Lampard kuipandisha timu yake ya Derby County kwenye Ligi Kuu England ziliyeyuka baada ya timu yake kulizwa na Aston Villa mabao...
ZAHERA: UBINGWA ULIKUWA WETU, HATUJASAIDIWA CHOCHOTE – VIDEO
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera alivyozungumzia suala la Simba kuwa bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19.
VITA YAO LEO NI MASAA MACHACHE TU KUMENYANA. ARSENAL V CHELSEA
CHELSEA na Arsenal zinavaana leo Jumatano kwenye mechi ya fainali ya Ligi ya Europa itakayopigwa kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Baku katika nchi ya...
KOCHA MKUU WA BARCELONA AKALIA KUTI KAVU
KUNA dalili za kibarua cha kocha Ernesto Valverde `kuota nyasi’ kufuatia kitendo cha Barcelona kuamua kuwasiliana na Roberto Martinez.Gazeti la Sport limedai kuwa viongozi wa...
SIMBA WAPOKELEWA LEO DAR NA MASHABIKI KIBAO, BODABODA ZATIA FORA
MASHABIKI wa Simba leo wameungana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi kuipokea timu kutoka Morogoro ikiwa imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Mashabiki hao...