admin
CRISTIANO RONALDO HANA MPANGO WA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA
CRISTIANO Ronaldo mchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno amesema kuwa bado ana imani ya kuitumikai timu yake ya Taifa kwa kubwa bado ana...
Kwa mujibu wa kanuni, Lipuli hawakustahili.
Kimsingi si Lipuli Fc ndio alitakiwa aende kushiriki michuano ya Kimataifa kwa msimu ujao kwa maana ya Kombe la shirikisho Africa na...
ZAHERA ASHUSHA KOCHA MPYA YANGA
KATIKA kuliboresha benchi lao la ufundi, uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo ya mwisho na Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime kwa ajili...
MANARA: YANGA NI WASHIRIKI VITI MAALUM CAF – VIDEO
Kauli ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na Yanga kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.
SIMBA YAIPELEKA YANGA MDOMONI MWA AL AHLY
KAMA zali tu vifaa vipya ambavyo vitavaa jezi za Yanga msimu ujao vina nafasi kubwa ya kukipiga dhidi ya timu za TP Mazembe na...
Yanga sio ‘viti maalumu’, lakini Simba…
Baada ya taarifa kutoka na kuonyesha kuwa sasa Tanzania itakuwa na timu nne katika mashindano ya CAF, tambwe nyingi zimeenea hadi kupelekea...
RAMADHAN KABWILI BADO HAKIJAELEWEKA YANGA, APATA DILI NJE
MLINDA mlango wa Yanga Ramadhani Kabwili amesema bado hawajafikia muafaka na mabosi wa timu moja nchini Sudan.Akizungumza na Championi Jumatano, Kabwili alisema; “Mkataba wangu...
POLISI TANZANIA YAPANIA KUPAMBANA TPL
UONGOZI wa kikosi cha Polisi Tanzania umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kujipanga kisawasawa kwa ajili ya msimu wao wa kwanza ndani ya...
AZAM FC: HATUJABAHATISHA KUTWAA FA, TULIJIPANGA KIUKWELI
KOCHA wa Azam FC Idd Cheche amesema kuwa haikuwa bahati mbaya wao kutwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho mbele ya Lipuli mchezo uliochezwa uwanja...