Home Authors Posts by admin

admin

24628 POSTS 9 COMMENTS

LUKA JOVIC ALAMBA DILI LA MIAKA MITANO REAL MADRID

0
Luka Jovic amejiunga na klabu ya Real Madrid kwa ada ya dau ya Euro milioni 62 amepewa kandarasi ya miaka mitano.Mshambuliaji huyo ambaye alikuwa...

YANGA KUMCHOMOA WINGA HUYU FUNDI KUTOKA TANZANIA PRISONS

0
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Yanga kwa sasa upo kwenye mazungumzo na winga wa kikosi cha Tanzania Prisons, Ismail Azizi kwa ajili ya kuwatumikia msimu...

CHEKI TPL ILIVYO KWA MTINDO WA NAMBA

0
MEI 28 Ligi Kuu Bara ilifika tamati ambapo bingwa wa ligi msimu wa 2018/19 ni Simba baada ya kumaliza ligi akiwa na pointi 93.Timu...

NAMUNGO HAWATAKI UTANI WAANZA NA JEMBE LA ALLIANCE

0
UONGOZI wa Namungo FC yenye maskani yake Mtwara imemsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirmana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa...

WASHINDI 24 WA SMARTPHONE KWENYE USIBAHATISHE CHEZA NA SPORTPESA

0
Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa Tanzania imewazawadia simu za kisasa za mkononi (smartphone) 24 watanzania mbalimbali walioshinda katika promosheni ya Usibahatishe Cheza na...

NIYONZIMA APEWA SOMO NA SAMAKIBA

0
KIUNGO fundi wa timu ya Simba Haruna Niyonzima amesema kuwa kitendo walichofanya Mbwana Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania na...

NAMUNGO KUSAJILI MAJEMBE 11, YUMO NA FUNDI WA BISAHARA UNITED

0
UONGOZI wa kikosi cha Namungo FC ya mkoani Mtwara ambayo imepanda daraja msimu huu umesema kuwa umejipanga kuwatangaza wachezaji wake wapya hivi 11 hii...

KOCHA JULIO: YANGA NI TISHIO

0
MAKOCHA wawili maarufu na wenye heshima kwenye soka la Tanzania, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ na Juma Pondamali wamekiri kwamba Yanga mpya itakuwa tishio. Julio na...

MSAFARA WA NANDY FESTIVAL WAPATA AJALI, MENEJA WAKE AFUNGUKA

0
Basi aina ya Coaster lililokua kwenye msafara wa kuelekea Nandy Festival Sumbawanga limepinduka Mikumi usiku wa kuamkia leo.Msafara huo ulikuwa na Wasanii Juma Nature,...

WAWA: NINAONDOKA BONGO

0
BEKI kisiki wa Simba mwenye mwili uliojengeka kimazoezi Pascal Wawa amesema kuwa kwa sasa anatarajia kuondoka bongo muda wowote kuelekea nchini Ivory Coast kwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS