Home Authors Posts by admin

admin

24610 POSTS 9 COMMENTS

ALLIANCE FC KUIFUMUA SIMBA NA YANGA

0
UONGOZI wa Alliance FC ya mkoani Mwanza umesema kuwa msimu ujao lazima wawe moto hasa kwa kuwapata wachezaji wenye uzoefu watakoongeza nguvu kwenye kikosi...

MAURIZIO SARRI KUIBUKIA JUVENTUS

0
KOCHA Maurizio Sarri, ambaye ametwaa kombe la Europa League msimu huu akiwa na Chelsea, inasemekana ameshafikia muafaka na Juventus kwa ajili ya kuinoa timu...

YANGA WAIPANGIA KIKOSI CHA MAUAJI AZAM FC

0
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa wametumia mbinu moja kubwa ikiwa ni pamoja na mchezo wao dhidi ya Yanga kuandaa kikosi cha mauaji dhidi...

OBREY CHIRWA ATAKA KUREJEA YANGA

0
IMEELEZWA Kuwa baada ya mshambuliaji wa Azam FC, Obrey Chirwa kuigomea klabu hiyo kuongeza mkataba mpya ndani ya klabu hiyo ameanza mazungumzo na kikosi...

Walcot asajiliwa Yanga.

0
Harakati za usajili wa Yanga zinaendelea kwa kasi kwa ajili ya kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao , baada ya kuteseka sana...

ISHU YA KUBORONGA KWA BODI YA LIGI, MASAU AIBUKA, SIMBA YATAJWA

0
BAADA ya jana bodi ya Ligi kuweka usawa na kukubali kwamba wameboronga kwenye suala la kukusanya data za matokeo ya mchezo wa Stand United...

BAADA YA KUTWAA KOMBE, HAZARD KUSEPA CHELSEA

0
Eden Hazard, baada ya kutimiza jukumu lake ndani ya kikosi hicho kutwaa kombe la Europa League kwa kuifunga Arsenal mabao 4-1, amesema kuwa anataka kwenda...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi.

KAULI YA KWANZA NZITO YA JACQUELINE KWA MAREHEMU DKT. MENGI

0
MKE wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, marehemu Dkt. Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe,  kwa mara ya kwanza tangu msiba huo ulipotokea,...

EXCLUSIVE: STRAIKA RWANDA ASAINI YANGA MIAKA MIWILI

0
Kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Rwanda, Issa Bigirimana amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Yanga akitokea klabu ya APR ya Rwanda.Usajili huo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS