admin
MAYANJA ATAJA SABABU ZA KUTUA KMC, ATAJA ATAKAOWASAJILI
KOCHA mpya wa KMC, Jackson Mayanja amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya akubali kusaini klabu ya Halmashauri ya Kinondoni, KMC ni mfumo wa klabu hiyo...
Yanga, Kaseke wanazungumza kuhusu dili jipya
YANGA SC bado wanahitaji huduma ya kiungo wa pembeni, Deus Kaseke ambaye mkataba wake unataraji kumalizika rasmi mwishoni mwa mwezi huu. Kaseke...
HAWA HAPA NYOTA WANNE WA YANGA KUJUA KAMA PANGA LITAWAHUSU WIKI...
UONGOZI wa Yanga umesema wiki hii utaweka hadharani majina ya wachezaji watakaoachwa ili kuwapa muda wa kujipanga.Mpaka sasa bado kuna wachezaji ambao hawajua hatma...
MRITHI WA NDAYIRAGIJE NDANI YA KMC HUYU HAPA
IMEELEZWA kuwa kocha mpya wa KMC atakayerithi mikoba ya kocha Etiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC ni Jackson Mayanja.KMC kwa sasa wanatafuta Kocha Mkuu...
BALINYA AMTIKISA KAGERE BONGO
MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Juma Balinya aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Polisi ya Uganda, amefunguka kuwa moja ya malengo yake kwa msimu...
BAADA YA SIKU 23, OKWI KUKINUKISHA SIMBA
HUKO ulipo weka kumbukumbu kabisa kwamba itakapofika Julai 19, straika wa Simba, Emmanuel Okwi ndiyo itakuwa siku ambayo ataanika juu ya mustakabali wake ndani...
MNYARWANDA WA YANGA ATIMKIA ZAMBIA
KAMA Yanga hawatakaza uzi vizuri basi wapo mbioni kumkosa beki Mnyarwanda, Eric Rutanga ambaye wamekuwa wakimpigia hesabu kwa kiasi kikubwa kutokana na beki huyo...
Kiungo wa Simba amwaga wino Namungo fc
Kiungo mshambuliaji John Mbise amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kutumikia Wana wa Ruhangwa ya Lindi baada ya kuipandisha Ligi Kuu.John Mbisse...