admin
NAMUNGO HAWATAKI UTANI WAANZA NA JEMBE LA ALLIANCE
UONGOZI wa Namungo FC yenye maskani yake Mtwara imemsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirmana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa...
WASHINDI 24 WA SMARTPHONE KWENYE USIBAHATISHE CHEZA NA SPORTPESA
Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa Tanzania imewazawadia simu za kisasa za mkononi (smartphone) 24 watanzania mbalimbali walioshinda katika promosheni ya Usibahatishe Cheza na...
NIYONZIMA APEWA SOMO NA SAMAKIBA
KIUNGO fundi wa timu ya Simba Haruna Niyonzima amesema kuwa kitendo walichofanya Mbwana Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania na...
NAMUNGO KUSAJILI MAJEMBE 11, YUMO NA FUNDI WA BISAHARA UNITED
UONGOZI wa kikosi cha Namungo FC ya mkoani Mtwara ambayo imepanda daraja msimu huu umesema kuwa umejipanga kuwatangaza wachezaji wake wapya hivi 11 hii...
KOCHA JULIO: YANGA NI TISHIO
MAKOCHA wawili maarufu na wenye heshima kwenye soka la Tanzania, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ na Juma Pondamali wamekiri kwamba Yanga mpya itakuwa tishio. Julio na...
MSAFARA WA NANDY FESTIVAL WAPATA AJALI, MENEJA WAKE AFUNGUKA
Basi aina ya Coaster lililokua kwenye msafara wa kuelekea Nandy Festival Sumbawanga limepinduka Mikumi usiku wa kuamkia leo.Msafara huo ulikuwa na Wasanii Juma Nature,...
WAWA: NINAONDOKA BONGO
BEKI kisiki wa Simba mwenye mwili uliojengeka kimazoezi Pascal Wawa amesema kuwa kwa sasa anatarajia kuondoka bongo muda wowote kuelekea nchini Ivory Coast kwa...
TFF, SIMBA WAJICHANGANYA KUHUSU SHOMARI KAPOMBE
KUFUATIA taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shrikisho la Soka Tanzania (TFF), Cliford Ndimbo kueleza kuhusu hali ya beki wa timu ya Simba na...
MLINZI WA SHULE ALIYEMUUA MWANAFUNZI AHUKUMIWA KIFO
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kunyongwa hadi kufa mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica, Hamis Chacha (30), baada ya kupatikana na kosa...
STARS KUMENOGA, DOZI MARA MBILI KWA SIKU
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Afcon itakayofanyika nchini Misri mwezi Juni.Stars...