admin
BAADA YA KUONA ‘USONGO’ WA SIMBA…KIFARUA WA MTIBWA AIBUKA NA JEURI...
Klabu ya Mtibwa Sugar imeichimba mkwara Simba SC kuelekea mchezo wa Mzunguuko wa 24 wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaozikutanisha timu hizo Jumamosi (Machi...
KUHUSU ISHU YA FEI TOTO NA YANGA…FATUMA KARUME AIBUKA NA HILI...
Mwanasheria wa Kiungo kutoka Zanzibar Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema ni mapema mno kuzungumza lolote kwa sasa, kufuatia maamuzi yaliyotangazwa na Kamati ya Sheria...
MERIDIANBET WAZIDI KUFANYA KWELI DAR….MAMILIONI YASOGEZWA MPAKA MLANGONI…
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, walisema sana mwisho wa siku vita vimewashinda jemedari mwenyewe wakali wa hizi kazi Meridianbet, walifika Duka la ubashiri la Mwananyamala...
VIGOGO TFF WAFICHUA ‘MADUDU’ YA FEI TOTO….AAMBIWA ATAJE TIMU ANAYOTAKA KWENDA...
Wakati vigogo waliowahi kuongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wakifichua kwamba sakata la Feisal Salum ‘Fei Toto’ linacheleweshwa na mchezaji mwenyewe na TFF haiwezi...
WINGA TELEZA WA TP MAZEMBE AKUBALI KUTUA YANGA…NI YULE ALIYEMTESHA ULIMI...
Jina la Phillipe Kinzumbi wala sio geni katika kumbukumbu za mashabiki hapa nchini, hiyo ni kutokana na ubora mkubwa aliuonyesha mchezaji huyo wa TP...
NABI:- AZIZ KI HAKUCHEZA KWA MASLAHI YA YANGA…HAKUWA BORA KWANGU …
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Yanga Nasreddine Mohammed Nabi, ametetea maamuzi yake ya kumtoa Kiungo Mshambuliaji kutoka Burkina Faso Stephen Aziz...
IBENGE APANIA KUMNYOFOA INONGA MSIMBAZI…MABOSI SIMBA WAKUBALI KUMWACHIA…
Licha ya kufanya vizuri katika michezo ya Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2022/23, Kocha Mkuu wa Al Hilal ya...
ISHU YA STRAIKA WA SIMBA QUEENS KUTAMBULISHWA BESKITAS YA UTURUKI..MPANGO UKO...
Aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba Queens Opah Clement jana Jumatano (Machi 08) alitarajiwa kutambulishwa rasmi kwa Mashabiki wa Klabu ya Beskitas inayoshiriki Ligi Kuu Uturuki.
Opah...
BAADA YA FEI TOTO KUTAKA KUVUNJA MKATABA YANGA…NABI AIBUKA NA MSIMAMO...
Baada ya kumkosa Kiungo wake kwa muda sasa, Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi ametoa neno kwenda kwa kiungo huyo aliekuwa mhimili muhimu ndani ya...
KISA MECHI YA SIMBA vs VIPERS…AHMED ALLY ‘AWANYEA’ WACHAMBUZI BONGO…”SEMENI MPAKA...
Baada ya Simba kufanikiwa kuibuka na alama tatu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa hatua ya Makundi wakiichapa Vipers FC bao 1-0.
Wachambuzi...