admin
KISA MGUNDA…JULIO AWASHUKIA MABOSI WA SIMBA….AFUNGUKA KUHUSU NAFASI YA MBRAZILI…
Aliyekuwa Kocha wa Simba SC na Timu za Taifa za Vijana Jamhuri Kihwelu Julio, ameuvaa Uongozi wa klabu hiyo kwa kusema ulipaswa kumkabidhi majukumu...
JEZI MPYA ZA SIMBA ZATUA RASMI BONGO….
Baada ya kusuasua kwa muda mrefu, hatimaye jezi mpya za Simba SC, zimewasili nchini tayari kwa ajili ya kuanza kuuzwa kwa mashabiki na wanachama...
JULIO:- AZAM FC WANIPE TIMU TUSHINDE LIGI KUU MIAKA KUMI MFULULIZO…
Kocha Mzawa Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amesema haoni sababu za Klabu ya Azam FC kushindwa kutamba katika Soka la Bongo, pamoja na kutwaa ubingwa wa...
KUHUSU ISHU YA KUPEWA UKOCHA TAIFA STARS….NABI AANIKA MUSTAKABALI WAKE NA...
Wakati uvumi ukienea kwamba Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi anawindwa kupewa kibarua Cha kuwa kocha wa Timu ya Taifa 'Taifa Stars' mwenyewe ametoa...
KISA MECHI YA VIPERS NA SIMBA…KIBU DENIS KUWA NNJE KWA WIKI...
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis atakuwa nje ya uwanja kwa takriban wiki moja kutokana na majeraha aliyoyapoata katika mchezo uliopita wa Ligi...
UKWELI MCHUNGU….KWA SIMBA HII YA ‘WACHOVU’ WENGI…HUENDA TAIFA LIKAPATWA NA AIBU...
Nimeitizama Simba inavyocheza katika mechi kubwa. Nimeitazama tena na tena. Ukweli ni kwamba Simba iko ‘unga’. Timu imechoka sana.
Simba hii imeshuka sana ubora kulinganisha...
SIKU KADHAA BAADA YA KUHAMA YANGA….YACOUBA NAYE ATEMA NYONGO…AMTAJA OKRAH WA...
Ulipofungwa usajili wa dirisha dogo moja ya majina makubwa lililoshtua lilipotajwa kutua Ihefu ni mshambuliaji Yacouba Songne, raia wa Burkina Faso.
Yacouba alifikia uamuzi huo...
KUHUSU UKWELI WA FEI TOTO KULA UGALI NA SUKARI….MAMA YAKE AANIKA...
Mama mzazi wa aliyekuwa mchezaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amnedai kuwa mwanaye huyo amenyanyasika akiwa ndani ya Klabu hiyo ndiyo maana akaamua...
JULIO;- SIMBA NIPENI KAZI MFURAHI…YANGA WANAFANIKIWA KWA SABABU YA WATU KAMA...
Kocha na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameutaka uongozi wa Simba kuwaamini wachezaji wao wa zamani akiwemo yeye ili kuipa timu...
KWA HILI BENCHI JIPYA LA YANGA…..KUNA TIMU ITAKUJA KUGONGWA KIAJABU….WANAMAKOCHA 9…
Klabu ya Yanga SC imemtangaza rasmi Mtaalamu wa kuwasoma na kuwachambua Wapinzani wao 'Video Analyst', Khalil Ben Youssef raia wa Tunisia ikiwa ni sehemu...