Home Authors Posts by Marce Ben Komba

Marce Ben Komba

792 POSTS 0 COMMENTS
Content Creator | Web Specialist Certified by Google | Digital Marketing Officer Certified by Google | Creative Graphic Designer Certified by California institute of the arts | SEO Expert Certified by Hubspot Contact marcekomba@gmail.com

PACOME AREJEA YANGA…GAMONDI AMCHEZESHA DK 10 TU…AKOSA MECHI SABA

0
Hatimaye kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua Leo anarudi uwanjani kwa mara ya kwanza tangu kuumia na kuzusha taharuki kubwa. Kwenye kikosi cha Yanga kitakachocheza mchezo...

KUMBE BEKI HUYU WA YANGA KUSAJILIWA SIMBA…AWAPA MASHARTI HAYA

0
Wakati tetesi za usajili zikimhusisha beki wa Yanga, Joyce Lomalisa kujiunga na Simba mwenyewe kaibuka na kuweka wazi kuwa yupo tayari kucheza timu yoyote...

GAMONDI ASHANGAZWA NA MAISHA YA MASTAA YANGA…AMEFUNGUKA HAYA

0
Kocha wa Yanga Miguel Gamondi, amevunja ukimya kwa kusema namna anavyoshangazwa na maisha ya mastaa wa timu hiyo kambini kwa muda wa mwaka mmoja...

YANGA HII SASA KIBOKO…ALIYEMVUTA JEZI AZIZ KI KUFUTIWA KADI NYEKUNDU

0
Beki wa Coastal Union, Lameck Lawi amefutiwa adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa na mwamuzi kwenye mchezo dhidi ya Yanga baada ya kuthibitika kuwa mwamuzi...

KISA KARIAKOO DABI YANGA YAPIGWA FAINI…KULIPA MAMILIONI HAYA…WAFANYA KOSA HILI

0
Timu ya Simba Sports Club imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) na Yanga Sports Club nao ikitozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa...

BODI YA LIGI YAMFUNGIA CHAMA…APIGWA FAINI HII…ISHU NZIMA IPO HIVI A-Z

0
Kiungo wa Simba Sports Club, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu (3) ya ligi na kutozwa faini ya Shilingi Milioni 1 (Tsh.1,000,000) kwa kosa la...

USIYEMPENDA KAJA…AZIZ KI KUBEBA TUZO HIZI BONGO…USTAA WALETA MAJIVUNO

0
Hakuna kitu kibaya kwenye mpira wetu kama kutengeneza balansi. Kutengeneza ulinganifu Kocha wa timu ya taifa ikiita wachezaji, kila mtu anaangalia ulinganifu wa wachezaji...

SIMBA WALIVYOPIGWA KO NA YANGA USAJILI WA AZIZ KI…ISHU NZIMA HII...

0
Rais wa Klabu ya Young Africans, Hersi Said amefunguka mbinu alizotumia kuinasa saini ya kiungo Mshambuliaji Kutoka Burkina Faso, Stephen Aziz Ki aliyekuwa akinyatiwa...

AISEE!! LOMALISA YAMEMKUTA YAPI YANGA?…FAILI LAKE LOTE HILI HAPA…KUMBE ANATISHA

0
Dakika 3 na sekunde 31 sauti ya Mjeshi Harmonize na Badgirl Spice, sijui ni kwanini ila huwa sitamani ngoma ya Miss Bantu iishe. Ni katikati...

SIMBA UBINGWA LIGI KUU BYE BYE…KUSHIRIKI KLABU BINGWA AFRIKA YAGEUKA NDOTO

0
Dakika 90 zimemalizika katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi kati ya Namungo 'The Southern Killer' na Simba SC huku mchezo huo ukimalizika kwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS