Marce Ben Komba
MAGAZETI: YANGA YAIMALIZA TP MAZEMBE KIMAFIA…CHAMA AINGIA ANGA ZA SAMATTA
March 24, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MAGAZETI: BANGALA,MAYELE TUACHIENI SISI…SIMBA SC YAIANDALIA SAPRAIZI RAJA CASABLANCA
March 24, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MNAWASIFIA SANA MAMELODI SUNDOWNS…WATAPIGWA NA SIMBA MSHANGAE
Awali ya yote ningependa ku-declare interest kuwa nawataka Masandawana.
Twende kwenye mada, imezuka mijadala mingi sana mitandaoni hususani kwa baadhi ya wachambuzi wakisema kuwa Mamelodi...
MAGAZETI: USAJILI MPYA SIMBA UNATISHA…NABI AFUATA DAWA YA TP MAZEMBE
Mwanamichezo March 22, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
YANGA NA SIMBA… ZIMETUHAKIKISHIA KUPELEKA TIMU 4 KIMATAIFA MSIMU UJAO
Makamu wa Rais wa Klabu ya Yanga, Arafat Haji amesema kitendo cha kuingiza timu mbili kwenye robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa...
BODI YA LIGI YAZIPIGIA SALUTI SIMBA NA YANGA… WADHAMINI WAMWAGA MANOTI
Kitendo cha klabu za Simba na Yanga kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa kimeelezwa kuwa kinaongeza umaarufu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Hilo limeelezwa na...
ULE MGOLI WA CHAMA WACHAGULIWA…GOLI BORA LIGI YA MABINGWA
Goli la Mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama alilofunga dhidi ya Horoya kwa kupitia mpira wa kutenga limeteuliwa kuwa bora kati ya magoli yote...
YANGA:- “KILICHOTUPELEKA ROBO FAINALI NI MKWANJA…”WACHEZAJI HAWALIPWI MAWE
MAKAMU wa Rais wa Yanga, Arafat Haji amesema kukua kwa nguvu za kiuchumi kwa klabu za Simba na Yanga imekuwa chachu kwa miamba hiyo...
SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE…TAMBO ZIMEISHA MIDOMONI
Mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (Serengeti Lite Women's Premier League #SLWPL) kati ya Yanga Princes na Simba Queens umemalizika katika Dimba la...
NDONDO CUP MARUFUKU…”HATUJATOA KIBALI CHOCHOTE” TFF
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa likiwa ndio
mamlaka inayosimamia na kutoa vibali vya michezo ya soka nchini halijatoa kibali kwa ajili ya mashindano...