Marce Ben Komba
SIMBA SC “MECHI NA HOROYA NI USHINDI TU”…HUU HAPA UNDANI WA...
Uongozi wa Simba SC umetangaza rasmi kuanza kwa maandalizi ya mchezo wa Mzunguuko watano wa Kundi C, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya...
MAPEMAAA…YANGA SC YAWAPIGA MKWARA WAARABU….. “FULL HOUSE..,FULL SHANGWE WAJE TUMALIZANE”…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir ya Tunisia yapo sawa.
Kwenye...
STAA WA YANGA ANAYEUZA MISHIKAKI….AFUNGUKA A-Z JINSI MO DEWJI ALIVYOMTIMUA BILA...
“Nilipostaafu soka nilifanya kazi tofauti, nimekuwa kondakta wa daladala, kisha nikafanya mambo ya mtaani na sasa nauza mishikaki na kacholi,” ndivyo anaanza kusimulia Kipanya...
FEISAL SALUM “FEI TOTO” AULA TAIFA STARS….. MASTAA WENGINE HAWA HAPA….
Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda
Katika kikosi hicho cha...
CLATOUS CHOTA CHAMA NDANI YA MBIO ZA KUWANIA MCHEZAJI BORA CAF...
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania...
TIMU YA WIKI CAF…SIMBA SC WAWILI…KAPOMBE NA CHAMA NDANI
CAF imetangaza timu ya wik ya CAF Championshipi, list kamili hii hapa Tanzania tumewakilishwwa na Wachezaji wawili kutoka Simba sc.
Wahezaji hao ni SHOMARI KAPOMBE...
KOCHA MKUU WA TANZANIA PRISONS…MOHAMED ABDALLAH ‘Bares’…AZUNGUMZA NA MASHABIKI
Ushindi wa 2-3 dhidi ya Namungo FC umempa jeuri Kocha Mkuu wa Maafande wa Jeshi la Magereza 'Tanzania Prisons' Mohamed Abdallah 'Bares', ambaye ana...
KAPOMBE..ZIMBWE JR…NA WACHEZAJI WENGINE WATEMWA TAIFA STARS
Hiki ndicho kikosi cha Tanzania (Taifa Stars) chini ya Kocha mpya, Adel Amrouche kitakacho jiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2023 dhidi ya...
MFAHAMU MKONGWE…SUNDAY RAMADHANI MANARA…KOMPYUTA
Sunday Ramadhani Manara "Kompyuta"
Ndiye mchezaji wa kwanza wa kitanzania Kucheza mpira ulaya
Alizaliwa 23--11--1952 ana miaka 70 mpaka sasa
Alizaliwa kigoma
Alisoma shule ya msingi white father...
WAKATI YANGA WAKIJITAFUTA …..SIMBA YAZIDI KUTAKATA CAF…WAIPITA TP MAZEMBE KWA KILA...
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF ambapo zimeionyesha Simba ya Tanzania kuwa ni ya 9 kwa ubora katika klabu...