Staff Desk
MZIKI HUU WA YANGA BADO HAMJASEMA…… AL MAREIKH HAWAAMINI MACHO YAO
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KUHUSU KUFELI KWA YANGA HERSI ASEMA MANENO HAYA
Yanga hatujaja hapa kufanya utalii, tumekuja kutafuta ushindi. Wapo watu wanaoweza kuomba dua ili tushinde, wafanye hivyo. Viongozi tupo kuhakikisha wachezaji wanatoa damu...
MANGUNGU ATOA KAULI YA KIBABE LEO SIMBA DHIDI YA POWER DYNAMO
Mwenyekiti wa Simba SC, ametoa kauli ya kibabe kuelekea mchezo wao dhidi ya Power Dynamod majira ya saa 10 jioni hii leo Septemba 16,...
MASHABIKI WA YANGA KIGALI WAPATA ZALI HILI
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amewanunulia tiketi mashabiki waliojitokeza kwenye safari ya Rwanda ambayo inawakutanisha dhidi ya Al Merrikh hapo kesho...
TUNACHAPA NJE NDANI….. KISA WAARABU BOSI YANGA AVUNJA BENKI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KILA MMOJA ASHINDE YAKE….. KIGALI NZIMA YARINDIMA MAXI AAHIDI SHANGWE…… SIMBA...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI AWABADILISHIA FOMESHENI WAARABU……..WATAPASUKA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KAMA UNA HALOTEL HII INAKUHUSU….MERIDIANBET WATAKUPA ‘MSHIKO’ KILA SIKU….
Kampuni namba moja ya michezo ya ubashiri nchini Merdianbet wameungana na kampuni ya simu za mikononi ya Halotel kwa lengo moja tu kuhakikisha watoa...
KRAMO SIMBA HAKUKALIKI AOMBA KUONDOKA
Wakati kikosi cha Simba SC kikiwa katika maandalizi ya mwisho ya mchezo wa kuwania kutinga Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi...
MAFURIKO YA RWANDA YANGA WAFANYA HAYA
Rais wa Yanga SC, Hersi Said @caamil_88 na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya timu hiyo wametoa msaada kwa waathirika wa mafuriko...