Staff Desk
UNAWAJUA WACHEZAJI WALIOANZA MSIMU VIBAYA, MAJANGA HAYA HAPA
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakitibua mipango ya makocha wengi kwenye soka ni pamoja na majeraha ya wachezaji muhimu ambao wamekuwa kwenye mipango yao,...
MKUDE HUYOOO TAIFA STARS
Kiungo wa Yanga SC, Jonas Mkude ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars) kwa ajili ya mchezo wa kutafuta nafasi ya...
SIO TSHABALALA, WALA KAPOMBE NJE TAIFA STARS KOCHA AFANYA MAAMUZI MAGUMU
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche, ametangaza orodha ya wachezaji 25 aliowaita kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya...
GAMONDI: AFUNGUKA KUHUSU WACHEZAJI WAKE KUFUNGA MAGOLI MATANO…. SIO LENGO LETU…AFUNGUKA...
Kocha wa Mkuu Yanga, Miguel Gamondi amesema siyo lengo lake kufunga mabao matano kila mchezo, lakini wachezaji wake wote wana njaa ya kufunga magoli...
KRAMO AREJEA MSIMBAZI FULUMZUKA CHEKI BALAA LAKE
Kiungo mshambuliaji Aubin Kramo amerejea mazoezini baada ya kutoka kwenye majeraha ya goti aliyokuwa ameyepata mazoezini.
Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed...
SEPTEMBER 16 SIMBA WANAJAMBO LAO NA POWER DYNAMO…. MAANDALIZI YAPO HIVI
Ni rasmi Mnyama Simba SC anaanza kutupa tiketi yake ya kwanza kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya mabingwa wa Zambia Power Dynamos...
UNAAMBIWA HUYO MAXI NZEGELI YANGA ANAPITA TU….. ISHU IKO HIVI
Ukiwa unamwangalia Max Nzengeli moja kwa moja kutoka uwanjani utagundua anazunguka maeneo yote ya uwanjani, lakini ukitazama mechi kupitia runinga hupati fursa hiyo...
MASHABIKI WA SIMBA WAISAGIA KUNGUNI YANGA, UWANJA WA AZAM COMPLEX KISA...
Mashabiki wa Simba SC kiroho safi wameomba Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania {TFF} ikiwezekana waufungie uwanja wa Azam Complex ili Yanga warudi kwenye...
SIRI YA ROBERTINHO KUMNG’ANG’ANIA KIBU YAANIKWA….YANGA HII… NI MWENDO WA 5G
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KAMA WABOVU… NJOONI NYIE! YANGA YAKWEA KILELENI KIBABE, MAXI KAMA...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo