Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

UONGOZI WAWATULIZA WANASIMBA, MRATIBU ATOA KAULI HII

0
Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kitendo cha kubadilishiwa uwanja dhidi ya Jwaneng Galaxy Jumamosi walikishtukia kabla kwa hiyo hakitawatoa mchezoni. Awali walikuwa wacheze...

YANGA WAIPIGA KIJEMBE SIMBA KISA VIKAO VYA USIKU…. KAMWE AFUNGUKA HAYA

0
Wakati Yanga wakijiandaa kukabiliana na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly siku ya Jumamosi Desemba 2 katika Uwanja wa...

WADAU WA SOKA LA BONGO WATAKA KOCHA MPYA WA SIMBA APIMWE...

0
Mchambuzi wa soka Bongo George Ambangile, amesema kocha mpya wa Simba SC, anapaswa kupewa muda kabla ya watu kuhukumu kama anaweza kuiletea Simba mafanikio...

AL AHLY KUTUA DAR LEO, MASTAA HAWA WA YANGA NJE YA...

2
Ofisa Habari na mawasiliano wa Al Ahly, Gamal Gabr amesema timu hiyo itatua nchini leo na wachezaji 25 huku nyota watatu Taher Mohamed, Antony...

BOCCO MAMBO SIO MAMBO SIMBA,MGUU NJE MGUU NDANI…. ISHU KAMILI IKO...

1
Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent)...

WAFCON KUTIMUA VUMBI LEO, TWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI

0
TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake (Twiga Stars) leo inashuka dimbani katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya...

ASFC KUTIMUA MBIO HII HAPA RATIBA YAKE, SIMBA, YANGA NA AZAM...

0
DROO ya raundi ya pili ya michuano ya ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) imefanyika leo ambapo mabingwa watetezi Yanga itacheza dhidi ya Hauling...

IBRAHIM BACCA ACHUKUA MAAMUZI MAGUMU YANGA, AJIPIGA KITANZI KIREFU

0
BEKI wa kati, Ibrahim Abdallah Hamad 'Bacca' ameongeza mkataba wa kuendelea na kazi katika klabu ya Yanga hadi mwaka 2027. Bacca (26) aliyejiunga na Yanga...

SIMBA YASHTUKIA ISHU BOTSWANA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

BENCHIKHA AFUMUA KIKOSI SIMBA CHOTE

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS