Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

BANGO LA YANGA LAZUA MJADALA ACHAMBUZI ASEMA HAYA

0
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Kipenga Extra ya East Africa Radio, Martin Mwakiposa amesema kuwa kitendo cha Klabu ya Yanga kuweka bango...

KWENYE HILI SIMBA WAKIAMUA YANGA HAWACHOMOKI

0
Wakti kukiwa na sintofahamu juu ya Nembo ya Simba kutumika katika bango lililowekwa na Yanga kusherehesha ushindi wao wa bao 5-1 walioupata dhidi ya...

CHILUNDA APEWA MTIHANI HUU NA UONGOZI WA SIMBA

0
Mshambuliaji wa Simba, Shaaban Chilunda ana kazi ya kujitetea mwenyewe uwanjani, ili kuwaonyesha viongozi wa klabu hiyo hawakukosea kumsajili, kwani usajili wake uliwashitua mashabiki...

MSUVA ATOA AHADI HII KUHUSU TAIFA STARS

0
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Simon Msuva, amesema kikosi chao kipo fiti kuwania alama tatu dhidi ya Niger, katika mchezo...

KOCHA AMTANGULIZA AZIZ KI KWA MO

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

BALEKE HUYOOO JANGWANI, ISHU KAMILI IKO HIVI YANGA WANABALAA

0
Wakati huu ambao Yanga wanaonekana kukosa mshambuliaji sahihi wa kumrithi Straika wao alietimkia Misri Fiston Mayele. Mchambuzi wa michezo kutoka TV3, Alex Ngereza anatuarifu kuwa...

UNAAMBIWA AJIB NI ZAIDI YA AZIZ KI

0
Wakati Kiungo wa Yanga raia wa Burkina Faso Stepehen Aziz KI akiwa hakauki midomoni mwa wapenzi wa Soka nchini kutokana na ubora wake anaouonesha...

WACHEZAJI HAWA SIMBA WAPEWA MWEZI MMOJA……..TRY AGAIN ATOA TAMKO LA KISHUJAA

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salum Abdallah 'Try Again' amewapa mwezi mmoja na nusu mastaa wao kutumia kipindi hicho kujihakikishia nafasi ya...

WANAJESHI 6 AZAM FC WAITWA TIMU ZA TAIFA

0
Wanajeshi sita ndani ya kikosi cha Azam FC wameitwa kwenye timu zao za taifa. Kwa sasa Ligi Kuu Bara ipo kwenye mapumziko kupisha mashindano ya...

SHINDA BAJAJ MPYA KWA JAMVI LA JERO TU MERIDIAN BET

0
Huenda siku zinazidi kwenda mwaka unaisha lakini kila malengo yako hayatimii, kila njia umefanya lakini bado mambo ni magumu. Leo nataka kunena na wewe...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS