Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

UCHAWI WA GAMONDI YANGA HUU HAPA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

WAZIRI WA UTAMADUNI AWEKA UTABIRI WA KIBABE SIMBA, YANGA CAFCL

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema hatua ambayo Simba na Yanga zimefikia kucheza makundi Ligi ya Mabingwa Afrika huenda ikatokea...

KWELI HII HATARI WATU WANAIJUA SIMBA KULIKO STARS

0
Mchambuzi wa soka Bongo, Amri Kiemba amechambua kuhusu mashabiki wa soka kuizungumzia klabu ya Simba kuliko timu ya Taifa. Huu hapa uchambuzi wake; "Inawezekana TFF ina...

GAMONDI ATOA ONYO KUHUSU UBINAFSI KISA MASTAA HAWA

0
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amewataka wachezaji wa timu hiyo kuacha kuangalia mambo binafsi haswa katika...

UJIO WA MANULA WAMPA WASIWASI MWARABU WA SIMBA

0
Mashabiki wa Simba kwa sasa angalau wana furaha baada ya kusikia kipa namba moja wa timu hiyo, Aishi Manula amerejea uwanjani na juzi kucheza...

SIMBA SASA MBIONI KUSAKA FAINI YA MKALI HUYU

0
Taarifa za kuaminika ni kuwa Uongozi wa Simba unaendelea na mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa MAS Fes, Banfa Sylla ili kuipa...

YANGA WATOA TAARIFA HII MPYA MAPEMA LEO

0
Yanga iko mbioni kuzindua jezi maalum itakayotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi. Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa...

SIMBA WATAMBA, AL AHLY AMEKUJA KIPINDI KIBAYA

0
Klabu ya Simba imesema kuwa wapinzani wao kwenye michuano ya African Footbal League (AFL), Al Ahly wamekuja katika kipindi kibaya kwani Mnyama atawatafuna mapema...

MRITHI WA MAYELE YANGA HALI TETE AKOSA PAKUSHIKA

0
Mshambuliaji Emmanuel Mahop, aliyekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga kwenye dirisha lililopita la usajili amerudi nchini Cameroon baada ya kufeli majaribio katika Klabu inayoshiriki Ligi...

KUMEKUCHA FEI TOTO ATAKA KULIANZISHA TENA AZAM, ADAI HANA FURAHA

0
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga SC ambaye kwa sasa anakipiga Azam FC, Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' hana furaha ndani ya klabu ya Azam,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS