Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

MAXI NZEGELI KWA YANGA SASA HIVI NI ZAIDI YA SHUJAA

0
Kama kuna mchezaji ambae sijamaliza kumzungumzia kwa sasa basi ni kiungo wa Yanga Max Nzengeli. Yashasemwa mengi kuhusu huyu jamaa ila Max anateleza vizuri na...

GAMONDI : NASHUSHA CHUMA KIPYA, MZIZE ATOA SIRI YA MSENEGO

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

MZIZE AFUNGUKA KUHUSU MAYELE KWENYE HILI

0
Mshambuliaji wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans, Clement Mzize, ametoa siri ya bao pekee alilofunga dhidi ya Al-Merrikh ya Sudan kwenye mechi ya...

KWANINI ILIKUWA BOCCO,ROBERTINHO AWEKA WAZI KILA KITU

0
Kocha Mkuu wa Simba Roberto Oliveira 'Robertinho' amesema kwa kiasi kikubwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wamefurahi kuingia hatua ya makundi ya Ligi...

KWA HILI LA YANGA, SIMBA INAPATA TABU SANA

0
Kinachowateza zaidi Simba ni Yanga, hizi timu ili wewe u-enjoy ni wakati unafanya vizuri mwenzio awe anafanya vibaya. Kama timu zote zinafanya vizuri basi itatafutwa...

GAMONDI AWEKA WAZI SIRI HII YA YANGA

0
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi amesema siri ya wao kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya...

VIINGILIO VYA IHEFU vs YANGA HIVI HAPA

0
Baada ya siku 309 tangu Yanga ifungwe na Ihefu mabao 2-1 Novemba 29 uwanja wa Highland Estate ulipo Mbarali mkoani Mbeya na kuharibu Unbeaten...

LICHA YA SIMBA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI ROBERTINHO AWAJIA JUU WACHEZAJI

0
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba wanatinga hatua ya makundi wakiwa hawana furaha mashabiki, huku Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akiweka wazi kuwa...

SINGIDA YA KIMATAIFA NJE YA DIMBA

0
Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika...

SIMBA IMESHAKUWA JANGA MO DEWJI AOGOPA KUFA KWA PRESHA

0
Baada ya Simba kufanikiwa kufanikiwa kufuzu kwa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS