Staff Desk
MITEGO MIWILI YANGA HII HAPA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
LOMALISA AFUNGUKA KUHUSU RAFU HII ILIYOMTOA MACHOZI
Beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa amekiri rafu aliyofanyiwa na Hashimu Manyanya wa Namungo katika mchezo wa raundi ya tatu Ligi Kuu uliomalizika...
MASTAA HAWA WA YANGA WAMCHANGANYA KOCHA WA AL MAREIKH
Mastaa wa Yanga wapo kambini wakiwa wamevaa sura ya kazi, akili zikiwa kwenye dakika 90 za mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya...
GAMONDI ATAMBA SIO MTU MMOJA MMOJA NI KIKOSI KIZIMA ETI……ISHU IKO...
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesisitiza kuwa katika kikosi chake anataka kuona kila mchezaji anaweza kufunga mabao pale anapopata nafasi.
Katika misimu miwili iliyopita,...
YANGA YAGEUKA TISHIO AFRIKA…… ISHU IKO HIVI
Kocha huyo anayokumbukumbu ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 wakiwa nyumbani katika mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Ligi...
SIMBA, YANGA NI REKORI NA HESHIMA…… DAKIKA HIZI KUAMUA HUKUMU HII
Vikosi vya Simba na Yanga zinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi za marudiano za Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kila moja kutoka kupata...
CHAMA ALAMBA DILI LA KIBABE
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama amesaini mkataba mpya wa binafsi na duka la vifaa vya michezo.
Chama amewaambia wafuasi wake kupitia Instagram kuwa...
KANOUTE HALIMBAYA, APUMZISHWE
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa wachezaji wengi wa Klabu ya Simba...
BALEKE AWEKA WAZI IDADI HII YA MABAO ANAYOYATAKA
Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Jean Baleke amesema kuwa anatamani kufunga Mabao kuanzia 20 kwenye ligi kuu msimu huu huku akimini yatatosha kuisaidia Simba...
JEAN BALEKE ALAMBA SHAVU HILI SIMBA
AKIWA na mabao matano kibindoni mshambuliaji wa Simba Jean Baleke amepewa kiatu cha ufungaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24.
Ni Ahmed...