Staff Desk
MINZIRO MASHAKANI, SIMBA WAHUSISHWA ISHU IKO HIVI
Kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, imeelezwa kumewaamsha viongozi wa Tanzania Prisons wakianza kukosa imani na kocha mkuu wa...
MAXI, PACOME WATISHA WASUDANI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KIUNGO WA YANGA MAMBO MAGUMU
Kiungo wa zamani wa Yanga, Abdulaziz Makame ‘Bui’, baada ya kukosa timu ya kuichezea anapigia mahesabu usajili wa dirisha dogo, huku akieleza anavyotakiwa kujitoa...
FEI TOTO AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA HALI YAKE AZAM
Kiungo Mshambuliaji wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema anainjoi kuichezea timu hiyo, lakini akikiri kuna ushindani zaidi kwa msimu huu kwenye Ligi...
YANGA YAANZA NA HESABU HIZI KALI CAF
Kikosi cha Young Africans kimerudi uwanjani kujifua baada ya kutoka kucheza mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyoamua kucheza nusu uwanja...
SIMBA INAMTU HUYU MMOJA TU
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Radio, Abissay Stephen amesema kuwa Klabu ya Soka ya Simba Sc ina mtu mmoja tu...
MUDATHIR AGEUKA MWIBA HUKO LIGI KUU
Timu yoyote itakayocheza na Yanga kisha kuona kiungo Mudathir Yahya akianzia benchi, kisha akaingizwa kwa mabadiliko, basi lazima ijipange kwani huyo jamaa ana balaa...
ISHU YA SIMBA NA MANULA IMEFIKA PATAMU SASA
Mlinda Mlango wa Klabu ya Soka ya Simba, Aish Salum Manula ameonekana kuimarika zaidi baada ya kuwa nje ya Uwanja kwa Muda Mrefu kutokana...
HUYU BALEKE SASA MTAKOMA,…..GAMONDI AINGIZA GIA MPYA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KATIKA HILI LA MASHABIKI YANGA NDIO INAONGOZA, ISHU IKO HIVI
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka kutoka EATC na EA Radio, Ibra Kasuga amesema kuwa Klabu ya Yanga ndiyo inaongoza kwa kuwaposti mashabiki zake...