JE BADOEGLIMT KUTAWALA LIGI YA NORWAY MSIMU HUU
Leo hii tutaangazia timu ya Bodoe/Glimt kutoka kule Norway ambayo ilishika vichwa siku hizi hivi karibuni kwenye ligi ya mabingwa baada ya kufanikiwa kuingia...
RAIS CAF AITAJA YANGA, ISHU YA SENEGAL
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amekumbushia bao walilofunga Yanga kwenye mchezo dhidi ya Mamelodi wakati akitangaza mabadiliko na maboresho katika...
NGOME YA YANGA YAGEUKA JANGA KWA WAPINZANI
USHINDANI wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaendelea kushika kasi, huku baadhi ya timu zikionyesha ubora mkubwa zinapocheza katika viwanja vyao vya nyumbani. Katika msimu...
SAFU MPYA YA USHAMBULIAJI YAIPA UNITED NGUVU MPYA
Mabadiliko makubwa ndani ya kikosi cha Manchester United yameanza kuonekana kwa kasi, hasa katika eneo la ushambuliaji ambalo sasa limegeuka kuwa kitovu cha mafanikio...
WADAU WATAKA SUBRA BAADA YA KIPIGO TAIFA STARS
KITENDO cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kufungwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein, kimewaibua wadau ambao walikuwa na mitazamo tofauti ya nini...
MGABONI TRA UNITED AFICHUA JAMBO LIGI KUU
KIPA wa TRA United raia wa Gabon, Jean-Noel Amonome, amesema msimu huu umekuwa mzuri kwake na rahisi wa kusoma vizuri mazingira ya Ligi ya...
NYOTA AZAM AREJESHA MATUMINI MAPYA
BAADA ya kukaa nje kwa takribani mwezi mzima, kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Nassor Saadun, ameanza kufanya mazoezi na wenzake, ikiwa ni matumaini mapya...
PRESHA YA UBINGWA YAONGEZEKA KWA YANGA SC
KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, kinatarajiwa kuingia kambini Jumanne, Machi 31, 2026, kwa ajili ya kujiandaa na mfululizo wa...
TRICK OR TREAT BONANZA INAENDELEA KUWIKA IKILETA PESA NA BURUDANI
Kama unadhani burudani ya Halloween iliisha baada ya msimu kumalizika, basi bado hujaingia ndani ya Meridianbet. Hapa ndipo Trick or Treat Bonanza inaendelea kuwasha moto, ikiwapa...
RUKA NA SHINDA KILA SEKUNDE NA SUPER HELI PREMIUM KUTOKA MERIDIANBET
Meridianbet inakuletea Super Heli Premium, mchezo wa kasino unaochanganya kasi, ujasiri, na zawadi kubwa. Hapa, kila raundi ni safari ya msisimko, kila uamuzi ni...












