ATLETICO MADRID KUMALIZA NAFASI YA NGAPI MSIMU HUU
Ligi kuu ya Hispania yaani LALIGA inazidi kupamba moto huku wakali wa ubashiri leo watakupatia uchambuzi wa Atletico Madrid ambao wameuwa na fomu nzuri...
SIMBA YAKUMBUKA MAUMIVU, YAIVAA COASTAL KWA HASIRA
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mchezo wa kesho dhidi ya Coastal Union ni miongoni mwa mechi ngumu...
WIN AND GO SASA KUBADILI MCHEZO WAKO, CHEZA LEO, POTEZEA, LIPWA KESHO
Meridianbet wamekuja na ubunifu mwingine utakaokufanya uione michezo ya ubashiri kwa jicho jipya. Kupitia Win&Go, kila siku unapata nafasi ya kurejesha sehemu ya ulichopoteza, hii...
KIPA YANGA AFUNGUKA, WAGENI SIO TISHIO NI FURSA
KIPA wa Yanga, Hussein Masalanga, amesema kuwa uwepo wa makipa wa kigeni katika Ligi Kuu Tanzania Bara haumpei presha yoyote, kwani anaamini kila mmoja...
ONGEZA ODDS ZAKO PAPO HAPO NA LIVE IN PLAY BOOSTER YA MERIDIANBET
Live In-Play Booster ni huduma ya Meridianbet inayowezesha wateja kubashiri mechi zinazoendelea (live matches) na kupata odds zilizoboreshwa papo kwa papo, yaani odds zinazoongezeka kulingana...
OURA AWASHTUA YANGA, SAFU YA ULINZI YAINGIA KAZINI MAPEMA
WINGA wa Simba, Anicet Oura, ameendelea kuwa tishio uwanjani, hali iliyomfanya beki wa Yanga, Israeli Mwenda, kutoa tahadhari kwa mabeki wenzake kuhakikisha wanakuwa makini...
NYOTA WA YANGA AFICHUA SIRI YA KUPOTEZA UBORA WAKE
KIUNGO wa Yanga, Max Nzengeli, amesema kucheza kwa muda mrefu huku akitumia nguvu nyingi uwanjani ni miongoni mwa sababu zinazoweza kushusha kiwango cha mchezaji...
SIMBA WAREJEA NA MIPANGO MADHUBUTI KUMDHIBITI MPINZANI
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewahakikishia mashabiki kuwa kikosi cha timu hiyo kipo tayari kurejea dimbani kwa...
MLIPUKO WA USHINDI WAANZA SASA, BGAMING YALETA RAHA MPYA MERIDIANBET
Soko la kubashiri limepata sura mpya sasa. Meridianbet imezindua rasmi BGaming, mtoa huduma anayekuja na nguvu, ubunifu na burudani isiyo na mipaka. Ujio huu ni...
SIMBA WAONYWA MAPEMA, YANGA YAANZA VITA YA UBINGWA
MSEMAJI wa Yanga, Ali Kamwe, ameendelea kuwachokoza wapinzani wao wakubwa akiwemo Simba, kwa kueleza kuwa katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara...












