ULINGANISHO NA HISTORIA JE UFARANSA WANAWEZA WANAWEZA KUWA TIMU YA KWANZA KUSHINDA TANGU BRAZIL 2002 MFULULIZO
Kwa mara ya mwisho timu kushinda Kombe la Dunia mfululizo ilikuwa Brazil mwaka 1958 na 1962. Tangu wakati huo, hakuna timu iliyofanikiwa kutwaa kombe...
UKWELI WAJULIKANA MPANZU HAYUPO KAMBINI KWA SABABU HII
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, ameweka wazi sakata la kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Elie Mpanzu, kutokuwepo kambini,...
JUNGUNI MAMBO MAZITO, YAHAHA KUSAKA KOCHA
WAKATI mzunguko wa 21 wa Ligi Kuu Zanzibar ukiendelea jana Alhamisi Aprili 2, 2026 baada ya kusimama kwa siku tatu, timu ya Junguni bado...
SURE BOY AOMBA KUONDOKA YANGA
Baada ya misimu mitatu yenye mafanikio ndani ya mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, kiungo mkabaji Salum Abubakar “Sure Boy” ameamua kuondoka katika klabu hiyo...
DURU LA PILI MOTO, DEPU ARUDI, YANGA YAANZA VITA RASMI
KUREJEA kwa mshambuliaji wa Yanga, Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depu’, kumekipa kikosi hicho nguvu mpya na kuibua matumaini makubwa kuelekea duru la pili la...
BACCA ATUPA TAULO, AKIRI RUSHINE NI BALAA
KIWANGO kinachooneshwa na beki wa Simba, Rushine De Reuck, kimeendelea kuvuta hisia za mashabiki na wadau wa soka ndani na nje ya uwanja, huku...
GATES OF LOVE NA NGUVU YA UPENDO NA USHINDI WA KIPEKEE
Karibu kwenye ulimwengu wa Gates of Love, sloti inayochanganya mapenzi na zawadi zisizo na kikomo. Hapa, kila mzunguko ni nafasi ya kushinda hadi 5,000×...
JE 2026 UNAMPA NAFASI IPI ARGENTINA KUTETEA TAJI LAKE
Kulekea michuano ya Kombe la Dunia wiki chache zijazo kuna timu ambazo tayari zinapewa nafasi ya kuchukua Kombe hili na ikiwemo Argentina ambao ndio...
MAAJABU YA JUMATANO INAYOLIPA ZAIDI NA MERIDIANBET
Katikati ya pilika za wiki, kuna siku moja ambayo imechaguliwa kubeba ndoto za wachezaji, siku ya Jumatano. Meridianbet wameipa uhai mpya siku hii, wakiiweka...
MSHERY AMPA KIBURI PEDRO
YANGA ilianza mazoezi juzi kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, na kocha Pedro Goncalves wala hana presha ya kumkosa kipa namba...












