BEKI WA NKANA FC, HASSAN KESSY ATAJA ATAKAPOKUWA IWAPO DILI LAKE LITABUMA NKANA
HASSAN Kessy, beki wa Nkana FC inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Zambia amesema kuwa akikwama kubaki ndani ya klabu hiyo ataibukia Afrika Kusini.Mkataba wa Kessy ndani ya Nkana FC unameguka mwishoni mwa msimu huu na mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote na mabosi wake kutokana na shughuli za michezo kusimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona.Nyota huyo amesema kuwa...
HUYU HAPA NI MBABE WA SARE, YANGA NA SIMBA WANAJUA SHUGHULI YAKE
TANZANIA Prisons, iliyo chini ya Kocha Mkuu Adolf Rishard ndani ya Ligi Kuu Bara ni mabingwa wa kulazimisha sare kwenye mechi zao.Wamecheza jumla ya mechi 30 wakiwa wanaongoza kwa kucheza mechi nyingi zaidi na pointi zao 41 kibindoni jumla ya mechi 14 walililazimisha sare.Shughuli yao Simba ile iliyokuwa chini ya Kocha Mkuu, Patrick Aussem ilihaha Uwanja wa Uhuru na...
KESHO NDANI YA SPOTIXTRA YANGA WANA JAMBO LAO ZITO,JUMAPILI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Jumapili usikose kupata nakala yako
MUONEKANO WA BEKI KISIKI WA SIMBA PASCAL WAWA BAADA YA KARANTINI
HUU ndio MUONEKANO wa beki kisiki wa Simba Pascal Wawa baada ya kukaa kupita kipindi cha mpito cha kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona akiwa nje ya kambi ya Simba
KAGERA SUGAR V YANGA MECHI YA KISASI
KLABU ya Kagere Sugar iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mecky Maxime imeshaanza maandalizi kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.Jana ilipopangwa ratiba ya hatua ya robo fainali, Kagera Sugar itakutana na Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael.Kagera Sugar kwenye mechi ya kwanza walipokutana na Yanga kwenye ligi kuu iliwanyoosha kwa mabao...
BALAA LA LAMINE MORO BEKI KISIKI WA YANGA LIPO NAMNA HII
LAMINE Moro, beki wa kati wa Yanga msimu huu wa 2019/20 ikiwa ni mara yake ya kwanza kucheza ligi ya Bongo ameonyesha uimara na kuaminika na Kocha Mkuu, Luc Eymael.Licha ya kwamba anamiliki bao moja ambalo alijifunga mbele ya Mbeya City Uwanja wa Taifa wakati Yanga ikiazimisha sare ya kufungana bao 1-1 amekuwa imara katika nafasi yake.Ametumia dakika 1,433...
HILI NDILO ZOEZI ANALOLIPENDA MBWANA SAMATTA, HAPA NDIPO WALIPO
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Aston Villa inayoshriki Ligi Kuu England amesema kuwa zoezi analopenda zaidi ni kulenga shabaha.Tayari kwa sasa ndani ya Ligi Kuu England inatarajiwa kurejea Juni 20 ila Aston Villa wataanza Juni 17 kucheza mchezo wake wa kiporo dhidi ya Sheffield.Aston Villa ina kibarua kizito cha kupambana...
RUVU SHOOTING:TUPO TAYARI KUTOA BURUDANI
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zote 10 zilizobaki kuendelea kutoa burudani kwa mashabiki wao.Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi Juni 13 ambapo ilisimama tangu Machi 17 kutokana na janga la Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh Jembe, Bwire amesema kuwa walikosa kuendelea kutoa burudani kwa muda mrefu...
WAKATI WA KUWATAMBUA WALIOKUWA WANALETA UJANJAUJANJA LWENYE MAZOEZI UNAWADIA
KAMA ambavyo kila siku nimekuwa nikisema, Juni Mosi, mwaka huu ndiyo michezo imeruhusiwa kuendelea hapa nchini baada ya kusimamishwa tangu Machi 17, mwaka huu.Sababu kubwa ya kusimamishwa kwa michezo hiyo nadhani kila mmoja anafahamu, lakini kwa kukumbushia tu ni kwamba, janga la Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19 ndiyo imesababisha yote hayo.Si Tanzania pekee, bali dunia nzima imeathiriwa...
KURUDI KWA LIGI KUNA MAMBO BADO HAYAPO SAWA, TUSISAHAU CORONA IPO
ZIMEBAKI siku 13 kwa sasa kabla ya kuifikia Juni 13 ambapo vumbi ya Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza na la Pili inatarajiwa kuanza kuonekana kwa wapenzi wa soka na familia ya michezo kiujumla.Ile burudani ambayo ilikuwa imekosekana inatarajiwa kurejea upya ambapo kwa sasa ni lala salama kwa mzunguko wa pili na hatimaye bingwa atajulikana atakuwa nani.Bado ninaona...