MANCHESTER UNITED WAMEAMUA KUINASA SAINI YA KINDA HUYU

0

MANCHESTER United imeingia kwenye vita ya kuwania saini ya kinda anayekipiga ndani ya Klabu ya Birmingham City mwenye uwezo mkubwa Jude Bellingham.Ripoti zinaeleza kuwa nyota huyo alionana na kocha wa zamani wa United Alex Ferguson ambaye alizungumza naye kuhusus suala la kumhamisha kwenye klabu yake anayocheza kwa sasa ambapo alipata muda wa kuzungumza na familia yake pia.Kinda huyo mwenye...

UHONDO WA PREMIER KUREJEA JUNI 8

0

IMEELEZWA kuwa, Ligi Kuu ya England maarufu Premier, huenda ikarejea wiki ya kuanzia Juni 8, mwaka huu baada ya kikao cha majadiliano ya lini wachezaji wataruhusiwa kufanya mazoezi ya pamoja kufanyika jana.Hatua hiyo imekuja ikiwa ni baada ya ligi hiyo na ligi zingine duniani kusimama kutokana na janga la Corona ambali linaisumbua dunia kwa sasa.Katika kikosi hicho, klabu zimekubaliana...

BEKI WA TANZANIA PRISONS AWAKIMBIZA MABEKI WOTE BONGO KWA KUCHEKA NA NYAVU

0

SALUM Kimenya beki kiraka anayekipiga ndani ya Klabu ya Tanzania Prisons amewakimbiza mabeki wote wanaokipiga ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheka na nyavu.Kabla ya ligi kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, Kimenya alicheka na nyavu mara tano.Idadi hiyo ya mabao ni kubwa kufungwa msimu huu kwa mabeki wote ndani ya Ligi Kuu Bara wanaokipiga kwenye timu zote...

KIUNGO ALIYEKIPIGA SIMBA NA YANGA AMPA SOMO MWAMNYETO

0

KIUNGO wa zamani wa Klabu ya Simba na Yanga Athuman Idd Chuji amesema kuwa kwa sasa ndani ya Bongo mchezaji mwenye thamani kwa wazawa ni beki chipukizi wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto.Chuji anayekipiga kwa sasa ndani ya Singida United amemtaka beki huyo kutulia kabla ya kusaini dili jipya jambo litakalomuongezea thamani.Mwamnyeto amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ambapo safu...

KOCHA YANGA ATAJA KINACHOWAPONZA MAKIPA BONGO KUPOTEZWA NA WAGENI

0

PETER Manyika, Kocha wa makipa ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa viwango vya magolikipa wa kigeni ni vya kawaida ukilinganisha na vile vya wazawa kutokana na kile wanachokionesha wawapo uwanjani ila ni wavivu.Manyika amesema kuwa wengi wamekuwa wakifanya sawa na wazawa jambo ambalo anaamini wanatoshana nguvu."Wachezaji wakigeni bado uwezo wao ndani ya ligi ni wa kawaida sawa na...

MORRISON BALAA LAKE LILIKUWA NAMNA HII NDANI YA LIGI KUU BARA

0

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison ametumia uwanjani jumla ya dakika 852 kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kuonyesha balaa lake.Kabla ya ligi kusimamishwa alicheza mechi 10 ambazo ni sawa na dakika 900 huku akitumia dakika 48 kusugua benchi kutokana na kufanyiwa mabadiliko katika mechi alizocheza. Amefunga jumla ya mabao matatu na kutoa pasi tatu na kuhusika kwenye jumla ya...

NYOTA HUYU KIPENZI CHA MASHABIKI ATAJWA KUREJEA JANGWANI

0

INAELEZWA kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao wanahitajika kurudi ndani ya Klabu ya Yanga ni pamoja na staa wao wa zamani, Heritier Makambo anayekipiga Horoya.Msimu wa 2018/19 Makambo alifanya kazi kubwa ndani ya Yanga akiwa ametupia mabao 17 huku kinara akiwa na Meddie Kagere aliyetupia mabao 23.Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kuhusu suala la Makambo muda utazungumza...

CHAMA ATAJA HATMA YAKE NDANI YA SIMBA

0

CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba ameweka wazi muda ambao bado atakuwa ndani ya Klabu ya Simba.Chama amekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga msimu huu huku Simba ikipeleka malalamiko yao Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kudai kwamba Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amefanya mazungumzo na mchezaji wao ilihali ana mkataba.Chama amesema kuwa:"Bado nipo ndani ya Simba na nina...

MTUPIAJI MWINGINE HUYU WA CONGO AINGIA ANGA ZA YANGA

0

LELO Amfumu ni nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rangers inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo.Nafasi yake ni ushambuliaji na ni miongoni mwa washambuliaji ambao wanafanya vizuri kwenye ligi hiyo yenye timu kubwa Afrika ikiwa ni pamoja na AS Vita pamoja na TP Mazembe.Kwenye washambuliaji wenye mabao zaidi ya saba naye yumo akiwa ametupia mabao tisa na anashika nafasi ya...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, lipo mtaani jipatie nakala yako