KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA NI MUHIMU, ILA WACHEZAJI MSIPUUZIE PROGRAM ZENU

0

KILA mmoja kwa sasa anapambana kujiokoa kutoka kwenye hali isiyopendwa na wengi ambayo ni maradhi yaliyoingia kwa kasi kutokana na maambukizi yake kuongezeka kila iitwapo leo.Hilo lipo wazi kwani sio jambo la mtu mmoja pekee bali dunia nzima kiujumla kwa sasa inapambana kuona namna gani inaweza kupata usalama na kuendelea na shughuli za maisha kama ilivyokuwa zamani.Mzigo mzito upo...

KUHUSU USAJILI WA WACHEZAJI WANAOKIPIGA NDANI YA BONGO SIMBA YASEMA HAISHINDWI KUSAJILI

0

SENZO Mazingisa,Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba amesema kuwa timu yake haishindwi kumsajili mchezaji yeyote anayecheza katika ligi ya Tanzania ikiwa inamhitaji.Simba imekuwa ikihusishwa na usajili wa baadhi ya wachezaji wanaocheza Ligi Kuu Bara kama beki wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto, beki wa Azam FC, Yakubu Mohammed na kiungo wa Polisi Tanzania, Baraka Majogoro. Senzo amesema kuwa kutokana na aina...

KOCHA WA SIMBA ASEPA NA MTU, KESHO NDANI YA GAZETI LACHAMPIONI JUMAMOSI

0

Kesho ndani ya Gazeti la Championi Jumamosi, usikubali kukosa jipatie nakala yako na nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako

KOCHA REAL MADRID ATOA MSAADA AFRIKA KWA AJILI YA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA

0

ZINEDINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid ametoa msaada wa vifaa tofauti katika hospitali za nchini Algeria kwa ajili ya kupambana na Virusi vya Corona.Kwa sasa dunia inapambana na janga la Virusi vya Corona ambavyo vinasambaa kwa kasi na kufanya ligi nyingi nchini kusimamishwa. Zidane ambaye ni raia wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria amejitolea msaada katika hospital huku nchi...

KEVIN DE BRUYNE AJIPA UBALOZI WA HIYARI

0

KIUNGO mtengeneza mipango ndani ya Klabu ya Manchester City, Kevin De Bruyne amesema kuwa amekuwa balozi mzuri kwa sasa kwenye familia yake kuhusu kujilinda na Virusi vya Corona.Kiungo huyo anayekipiga timu ya Taifa ya Ubelgji amesema kuwa mwanzo familia yake ilikuwa na hofu kubwa kuhusu maambukizi hayo jambo lililomfanya awe balozi mzuri kuhusu maambukizi ya Virusi vya Corona.Nyota huyo...

HATMA YA NYOTA WA ZAMANI WA YANGA IPO KWA MROMANIA WA AZAM FC

0

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa ishu ya mkataba wa mshambuliaji wao Donald Ngoma ipo mikononi mwa Kocha Mkuu, Arstica Cioaba raia wa Romania.Ngoma ambaye alisajiliwa na Azam FC, msimu wa 2018/19 akitokea Yanga kwa sasa kandarasi yake imebaki miezi miwili ili kumeguka.Mtendaji mkuu wa klabu hiyo Abdulkarim Amin amesema mwenye maamuzi juu ya hatma ya Ngoma...

IBRAHIM AJIBU ANAFANYA HIVI KULINDA KIPAJI CHAKE

0

IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji ndani ya Simba amesema kuwa wakati huu wa mapumziko ya Ligi Kuu Bara kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona amekuwa akichukua tahadhari huku akifanya mazoezi kulinda kipaji chake na kujitoa kwa jamii.Ajibu amesema kuwa amekuwa akitoa misaada kwa jamii ili kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona."Nimekuwa nikifanya...

ANAYEWINDWA NA YANGA AANZA KUAGA RASMI KWA MABOSI WAKE

0

PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli ambaye saini yake inaelezwa inawindwa na mabosi wake wa zamani Yanga amewaaga mabosi wake wa Lipuli rasmi ili asepe msimu ujao.Nonga amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ndani ya Lipuli akiwa amefunga mabao 11 na kutoa pasi nne za mabao kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Mkataba wake ndani...

KUMEKUCHA, KIUNGO MWINGINE NDANI YA SIMBA APIGIWA HESABU NA TP MAZEMBE

0

JONAS Mkude iwapo mambo yatakuwa sawa huenda msimu ujao akasepa ndani ya Simba na kwenda kukipiga ndani ya Klabu ya TP Mazembe ya Congo.Huyu atakuwa ni nyota wa pili ndani ya Simba kutakiwa na timu kubwa ikiwa ni baada ya kiungo Clatosu Chama kuelezwa kuwa anahitajika na Yanga.Habari zinaeleza kuwa mabosi wa TP Mazembe wamekuwa wakimfuatilia kiungo huyo mkabaji...