MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, Kikosi cha Haji Manara ni noma
KOCHA WA YANGA AZUIWA KURUDI TANZANIA NA MFALME WA UBELGIJI
KOCHA wa Yanga, Luc Eymael alitakiwa kurudi nchini leo Jumatano, akitokea kwao Ubelgiji alipokwenda kwa ajili ya masuala yake ya kifamilia ambayo aliyamaliza tangu wiki iliyopita lakini jambo hilo limeshindikana baada ya Mfalme wa Ubelgiji, Roi Philippe kuzuiandege zote za Kimataifa kutoka nchini humo.Eymael anasema serekali ya Ubelgiji ilitoa tangazo rasmi kuwa hakuna mwananchi wake au raia yoyote aliyokuwa...
‘BARTHEZ’ – KWA SIMBA HII KILA MCHEZAJI ANAKUFUNGA
KIPA wa zamani wa Simba, Ally Mustapha ‘Barthez’ amebainisha kuwa hata nafasi ya beki wa kati anacheza freshi tu lakini akaonyesha Simba hii ni balaa.“Ile safu ya ushambuliaji ya Simba hatari sana, tulipata shida sana tulipokutana nao. Ogopa sana timu ambayo kila mchezaji anaweza kufunga, ndivyo ilivyo kwa Simba, safu yao ya ushambuliaji muda wowote inakufunga,” alisema Barthez.Alisema kwamba...
YANGA YA GSM YATENGA MILIONI 80 KUMNG’OA ‘HD’ MSIMBAZI..MPANGO MZIMA UKO HIVI..!!
YANGA wamekutana ijini Dar es Salaam na kukubaliana kuachana na mastaa wa Simba kwenye usajili ujao, lakini siyo Hassan Dilunga ambaye ni kipenzi cha Bilionea wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’.Yanga wamepanga kuongeza kiungo mshambuliaji mzawa mwenye uwezo wa kutengeneza nafasi na kufunga na jina la Hassan Dilunga sasa lipo kwa mmoja wa wadhamini wa Yanga, GSM ambao habari zinasema...
SVEN AMTEGA SHEVA MSIMBAZI
KOCHA wa Simba, Sven Vanderbroeck amesisitiza kuimarika kwa mshambuliaji wake, Miraji Athuman ‘Sheva’, kutaifanya timu yake itishe zaidi kwenye eneo la mbele kwa vile Mnyarwanda Meddie Kagera atapata msaidizi wa kumwongezea nguvu.Sven, ambaye aliweka wazi kwa sasa kikosi chake cha kwanza alichokuwa anakitumia, Kipa ni Aishi Manula, beki wa kulia Shomari Kapombe, beki wa kushoto Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Mabeki...
YANGA YA GSM YAJITOSA UPYA KWA MAKAMBO WA HOROYA
YANGA wameamua kujilipua tena kwa straika wao wa zamani, Heritier Makambo anayekipiga AC Horoya ya Guinea.Awali, Horoya waligoma kumuachia Mkongomani huyo kwa madai kwamba, wanamtegemea na ishu za yeye kukaa benchi haimaanishi kuwa hahitajiki kikosini.Mwanaspoti limejiridhisha kwamba, Yanga wiki hii wametuma ofa ya mwisho kwa Makambo na wame kuwa wakizun gumza kiaina na staa huyo wa kuwajaza.Habari zinasema kwamba...
NDANDA YAGOMA KUSHUKA DARAJA
VITALIS Mayanga, mshambuliaji wa Ndanda FC amesema kuwa ni ngumu kwa timu yao kushuka daraja kutokana na hesabu ambazo wanazipiga kwa sasa.Mayanga amejiunga na Ndanda FC kwa kandarasi ya miezi mitano ambapo alirejea kwenye timu yake hiyo ya zamani akitokea KMC ambao waliamua kuachana nao kwa kile walichodai kwamba uwezo wake umeshuka.Mayanga amesema:"Kwa sasa itakuwa ngumu kwa Ndanda kushuka...
MCHEKA NA NYAVU ANAYEWINDWA NA YANGA ATAJA KINACHOIMALIZA TIMU YAKE YA ZAMANI
MTUPIA mabao namba moja ndani ya Namungo ambaye aliwahi kucheza pia ndani ya Yanga amesema kuwa kilichokuwa kinaiponza Yanga kushindwa kutupia mabao mengi ni upepo ila uwezo wa wachezaji ni mkubwa.Yanga ikiwa imecheza mechi 27 imefunga mabao 31 huku kinara wao wa utupiaji akiwa ni David Molinga mwenye mabao nane na mechi ambayo kwa msimu huu wa 2019/20 walifunga...
CHELSEA YAWEKA NGUMU KWA KANTE KUIBUKIA KWA ZIDANE
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Chelsea imesitisha mpango wa kumuuza nyota wao N'Golo Kante msimu ujao.Real Madrid iliyo chini ya Kocha Mkuu Zinedine Zidane inatajwa kuwa ilikuwa kwenye hesabu za kumpata kiungo huyo machachari ambaye anakipiga pia timu ya Taifa ya Ufaransa.Kwa mujibu wa mtandao wa 90min unaeleza kuwa Madrid walikuwa na mpango wa kuinasa saini yake ila Chelsea nao...
KISA YANGA, SIMBA YAMKOMALIA CHAMA, YATAJA MUDA WA MKATABA WAKE
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kiungo wao Clatous Chama raia wa Zambia mkataba wake bado unaishi mpaka pale Juni 2021.Chama amekuwa akihusishwa kujiunga na wapinzani wa Simba Yanga ambao inaelezwa kuwa wameanza kufanya mazungumzo na nyota huyo ambaye kwa sasa yupo nchiniZambia.Ofisa Habari wa Simba Haji Manara amekanusha taarifa kuhusu mkataba wa kiungo Chama kumalizika mwaka huu, akisisitiza kuwa...