HATMA YA KICHUYA,NDEMLA, AJIBU NDANI YA SIMBA IPO HIVI

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa hatma ya wachezaji wote ndani ya kikosi hicho ni pale ambapo Ligi Kuu Bara itakamilika ndipo watataja wale watakaochwa na watakaoongezewa mikataba.Kwa sasa Ligi Kuu Bara ikiwa imesimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona kuna wachezaji ambao maisha yao kikosi cha kwanza yalikuwa magumu.Nyota hao ni pamoja na Shiza Kichuya, Said Ndemla, Ibrahim Ajibu,...

WACHEZAJI WA LIGI KUU ENGLAND WAUNDA UMOJA WAO KUPAMBANA NA CORONA

0

WACHEZAJI wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wameunda umoja wao ambao una malengo ya kukusanya fedha kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kupambana na Virusi vya Corona.Muasisi wa umoja huo ni nahodha wa Klabu ya Liverpool Jordan Henderson ambaye ameungwa mkono na mmakapteni wenzake ikiwa ni pamoja na Harry Maguire wa Manchester United.Kwa sasa Ligi Kuu England imesimamishwa na inatarajiwa kurejea...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI, NAFASI YA KUSHINDA NDINGA NI YAKO

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi 

WACHEZAJI SIMBA MTEGONI, ATAKAYEKIUKA ADHABU JUU YAKE INAMUHUSU

0

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wa Simba kabla ya kuvunja kambi walifanyiwa vipimo vya uzito hivyo atakayeongezeka kilo ghafla hatua itachukuliwa.Hatua hiyo imefikiwa kutokana na kambi za timu kuvunjwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo Serikali ilizuia mikusanyiko isiyo ya lazima.Matola amesema:"Tunatambua kwamba kwa mazingira ambayo tupo itakuwa ngumu kuwadhibiti wachezaji kwa upande wa...

NYOTA WATATU WA FIORENTINA SASA WAPO GADO BAADA YA KUPEWA MATIBABU YA CORONA

0

KLABU ya Fiorentina imetangaza kuwa mastaa wake watatu ambao walikutwa na Virusi vya Corona kwa sasa wamepona na wanaendelea vizuri. Mastaa hao ni pamoja na Patrick Cutrone, German Pezzella na Dusan Vlahovic awali walibaini kupata virusi vya Corona ndani ya kikosi cha timu hiyo. Fiorentina  ilisema: “ Tunachukua nafasi hii kuwashukuru  madaktari, manesi na hospitali zote ambazo walihusika kutibu wachezaji na...

MABOSI COASTAL UNION WAMRUHUSU NONDO KUTIMKIA SIMBA

0

UONGOZI wa Coastal Union umesema kuwa wapo tayari kumuuza beki wao chipukizi Bakari Nondo ambaye pia ni nahodha wa kikosi hicho chenye maskani yake Tanga kwa Simba iwapo watafikia makubaliano.Nondo amekuwa moto msimu huu ndani ya Coastal Union jambo ambalo limewafanya mabosi wa Simba kuiwinda saini yake ili avae jezi yenye rangi nyekundu. Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Coastal...

PSG YAITAKA HUDUMA YA ICARD MAZIMA

0

KLABU ya PSG ipo kwenye mpango wa kumalizana na nyota wao Mauro Icard anayekipiga kwa mkopo akitokea Klabu ya Inter Milan.Raia huyo wa Argentina amekuwa kwenye kiwango chake msimu huu ambapo amecheza mechi 20 na kutupia mabao 12.Inaelezwa kuwa Juventus nao pia wapo kwenye hesabu za kuipata saini ya nyota huyo ambaye pia mabosi wake AC Milan wameonyesha mpango...

SIMBA YAWAPIGA ‘STOP’ WACHEZAJI KUZUNGUMZA ISHU YA SIMBA

0

OFISA Habari wa Klabu ya Simba Haji Manara, amesema kuwa wachezaji wa Simba kwa sasa wakihojiwa na vyombo vya habari wanapaswa wazungumzie maisha yao binafsi na sio masuala ya Simba.Akizungumza leo alipotembelea Ofisi za Global Group zilizopo Sinza Mori Manara amesema huo ni utaratibu mpya ambao umewekwa baada ya kufanyika mabadiliko.Manara amesema wachezaji wa timu ya Simba kwa sasa...